Almadrasat Wakfiya

Almadrasat Wakfiya UKURASA RASMI WA ALMADRASAT WAKFIYA ISLAMIYA , KWAALINATU ZANZIBAR
ELIMU YA DINI YA KIISILAMU
1964

18/07/2026

Tuwahifadhishe watoto wetu Qur'an Ili ikawafae Duniani na Kesho Akhera

25/06/2026

ASSALAM ALAIKUM Leo kutakua na MHADHARA MSIKITI WA SHEIKH AMEIR TAJO KWAALINATU KUHUSU FUNGA YA ASHURAA BAADA YA SALA YA MAGHARIBI
MHADHIRI SHEIKH MASOUD AHMADA SHANI
tuhudhirieni Kwa wingi InshaAllah

21/06/2026

Viwanja vya Tarbia Mfereji wa Wima

20/06/2026

Leo tutakuwepo katika Maulid ya kukaribisha Mwaka mpya wa Kiisilamu 1448Hijria
Saa 3 Usiku Viwanja vya Kamjada Tarbia

Tukutane Tariba
20/06/2026

Tukutane Tariba

16/06/2026

Kheri ya Mwaka mpya wa Kiisilamu 1448 Hijria

14/06/2026

Address

Kwaalinatu
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Almadrasat Wakfiya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share