UVCCM Wilaya YA MJINI

UVCCM Wilaya YA MJINI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UVCCM Wilaya YA MJINI, Political Party, Kwaalinatu, Zanzibar City.

MIAKA 49 YA KUZALIWA KWA CCM——“Tumechagua Umoja na Amani kwa Maendeleo ya Taifa Letu”
05/02/2026

MIAKA 49 YA KUZALIWA KWA CCM

——
“Tumechagua Umoja na Amani kwa Maendeleo ya Taifa Letu”

12/01/2026
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AONGOZA MATEMBEZI YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR MKO WA MJINIMwenyekiti wa UVCCM na Mjumbe ...
11/01/2026

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AONGOZA MATEMBEZI YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR MKO WA MJINI

Mwenyekiti wa UVCCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Ndugu Mohammed Ali Kawaida Jumamosi Januari 10, 2026 atakuwa mgeni rasmi katika kufunga matembezi ya kuadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyoshirikisha maelfu ya vijana kutoka Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanza tarehe 04 Januari 2026 katika mikoa ya Unguja na Pemba.

*UVCCM WILAYA YA MJINI**📍 TAWI LA CCM MUUNGANO*MNEC wa Vijana TAIFA na Mbunge wa Vijana Tanzania Mhe. MWANAENZI HASSAN S...
21/12/2025

*UVCCM WILAYA YA MJINI*
*📍 TAWI LA CCM MUUNGANO*

MNEC wa Vijana TAIFA na Mbunge wa Vijana Tanzania Mhe. MWANAENZI HASSAN SULUHU Mgeni Rasmi Katika Ufungaji wa Baraza la Kawaida la Kikanuni la UVCCM Wilaya Ya Mjini.


*UVCCM WILAYA YA MJINI**📍 TAWI LA CCM MUUNGANO*Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini na  Mjumbe Wa Kamati tekelezaji UVCCM T...
21/12/2025

*UVCCM WILAYA YA MJINI*
*📍 TAWI LA CCM MUUNGANO*

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini na Mjumbe Wa Kamati tekelezaji UVCCM Taifa Ndugu. HUSSEIN AYOUB IDDI Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi wa Baraza la Kawaida la Kikanuni la UVCCM Wilaya Ya Mjini.


MGENI RASMI (Ufungaji): MNEC WA UVCCM TAIFA na MBUNGE WA VIJANA TZ Mhe. MWANAENZI HASSAN SULUHU🫡Karibuni sana Wajumbe Ta...
20/12/2025

MGENI RASMI (Ufungaji): MNEC WA UVCCM TAIFA na MBUNGE WA VIJANA TZ Mhe. MWANAENZI HASSAN SULUHU🫡

Karibuni sana Wajumbe Tawi LA CCM MUUNGANO 🙏🏿

📣 *TANGAZO MUHIMU - UVCCM WILAYA YA MJINI* Jumuiya ya Umoja wa Vijana Wa CCM UVCCM Wilaya ya Mjini inapenda kuwataarifu ...
18/12/2025

📣 *TANGAZO MUHIMU - UVCCM WILAYA YA MJINI*
Jumuiya ya Umoja wa Vijana Wa CCM
UVCCM Wilaya ya Mjini inapenda kuwataarifu wanachama na wajumbe wote kuhusu *KIKAO CHA BARAZA LA KAWAIDA LA KIKANUNILA UVCCM* kitakachofanyika:

📅 *Tarehe:* 20 Desemba, 2025
🕗 *Muda:* Saa 8:00 Mchana
📍 *Mahali:* Ukumbi wa Rahaleo Studio

*Mgeni Rasmi:*
Kwenye Ufunguzi wa Baraza
*Comrade Hussein Ayoub Iddi*
*(Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mjini)*

Wajumbe wote mnaombwa kuhudhuria kwa wakati kwa ajili ya kujadili masuala muhimu ya maendeleo ya vijana na Jumuiya kwa ujumla.





Karibuni nyote kwa mshikamano na uzalendo! 🇹🇿

UVCCM WILAYA YA MJINI🗓️ NOVEMBA 25, 2025📍 CCM CONFERENCE HALL,MJINIKIKAO KAZI MJINI📌Katibu wa jumuiya ya UVCCM Wilaya ya...
25/11/2025

UVCCM WILAYA YA MJINI
🗓️ NOVEMBA 25, 2025
📍 CCM CONFERENCE HALL,MJINI

KIKAO KAZI MJINI📌

Katibu wa jumuiya ya UVCCM Wilaya ya Mjini Ndg. MOHAMED PHILIPO, Amefanya kikao na Makatibu na Hamasa Ngazi ya Wadi na Jimbo.


HONGERA DKT SAMIA
02/11/2025

HONGERA DKT SAMIA

Address

Kwaalinatu
Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Wilaya YA MJINI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share