01/09/2026
Mshauri Elekezi kutoka Taasisi ya “SAMOK” Dkt. Said Moh’d akiwasilisha Rasimu ya awali ya Mpango Mkakati (SP) wa Afisi ya Mwanasheria Mkuu (2026-2031) kwa Watendaji wa Afisi hiyo ili kuweza kutowa maoni yao.
#