Paje Updates

Paje Updates This page will provide all great updates from Paje Village as well to give a chance all investors to show their business

Baraza la vijana ni chombo kinacoundwa na vijana kwa lengo la kutetea maslahi ya vijana katika masuala ya kimaendeleo

Katika kuadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar leo Waziri wa Habari, vijana, utamaduni, Sanaa na michezo,...
02/01/2021

Katika kuadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar leo Waziri wa Habari, vijana, utamaduni, Sanaa na michezo, Muheshimiwa Tabia Maulid Mwita ameifungua rasmini hospital ya Huduma za mama na mtoto iliyopo kijijini kwetu Paje.. Ikulu habari Zanzibar Baraza La Vijana Zanzibar Ofisi ya Makamu wa Rais Wizara Ya Habari Wizara ya Kilimo

Heko Serikali ya Mapinduzi kwa uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Kusini mpya pamoja na Mkuu wa Wilaya yetu ya Kusini pia, vijana...
01/01/2021

Heko Serikali ya Mapinduzi kwa uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Kusini mpya pamoja na Mkuu wa Wilaya yetu ya Kusini pia, vijana tunasema tutawaunga mkono kwa asilimia 100 na tumeanza kutiwa moyo na utendaji wao, Karibu RC Rashid pamoja na DC Sadifa Kusini Unguja

Baraza la vijana shehia ya Paje hatuna budi kuishukuru Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Habari na Vij...
10/12/2020

Baraza la vijana shehia ya Paje hatuna budi kuishukuru Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Habari na Vijana chini ya Muheshimiwa Tabia Mwita Maulid na afisa wake wa manunuzi Ndugu Hadia Haji Khamis kwa kuweza kusikia kilio chetu cha siku nyingi amakweli sasa ni wakati wa "neema tupu" Ikulu habari Zanzibar Baraza la Vijana Wilaya ya Kusini Unguja Zanzibar Youth Council

Baraza la vijana Shehia ya Paje nasi tunaungana nawe Muheshimiwa mgombea wa Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (...
30/07/2020

Baraza la vijana Shehia ya Paje nasi tunaungana nawe Muheshimiwa mgombea wa Urais Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dr Hussein Mwinyi kuwatakia Waislamu wote Eid Mubarak

30/07/2020

Eid Mubarak

29/12/2016

26/12/2016

26/12/2016
Ujio wa baraza la vijana shehia ya kijini katika konde yetu ulikuwa hv
26/12/2016

Ujio wa baraza la vijana shehia ya kijini katika konde yetu ulikuwa hv

Kutunza mazingira ni jukumu letu sote
22/12/2016

Kutunza mazingira ni jukumu letu sote

Address

Paje
Zanzibar

Telephone

+255777774070

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Paje Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Paje Updates:

Share