Tbc Nets

Tbc Nets Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tbc Nets, Lighthouse, Zanzibar.

TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
19/03/2025

TARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Katibu mkuu wa shirikisho la Sana Mhe Ali simba Abdulla na kamati yake wakutana na C.E.O wa ZIFF ndg. Joseph Alban Mwale...
13/03/2025

Katibu mkuu wa shirikisho la Sana Mhe Ali simba Abdulla na kamati yake wakutana na C.E.O wa ZIFF ndg. Joseph Alban Mwale kwenye ziara yake ya kujenga uhusinao tarehe 12/03/2025 katika afisi zake.
# ikulu zanzibar
# wizara ya habar vijana utamaduni ma michezo
# baraza la sanaa Zanzibar
# baraza la sanaa taifa basata
ya habari utamaduni na michezo

R. I. P  Picha
06/05/2024

R. I. P
Picha

Mara baada ya kukumaliza panel discussion, Shirikisho la Sanaa Zanzibar limeandaa sherehe maalum ya kuadhimisha siku ya ...
05/05/2024

Mara baada ya kukumaliza panel discussion, Shirikisho la Sanaa Zanzibar limeandaa sherehe maalum ya kuadhimisha siku ya msanii Zanzibar. Sherehe hiyo itafanyika leo tarehe 05 May 2023 katika ukumbi wa THE BOX poster ya zamani saa 1:00 usiku
Nyote mnakaribishwa.... WEKEZA, SANAA NI FURSA



tanzania

Kuelekea siku ya msanii kitaifa ambayo inaadhimishwa kila ifikapo tarehe 05 May. Shirikisho la  Sanaa Zanzibar (SHISAZA)...
03/05/2024

Kuelekea siku ya msanii kitaifa ambayo inaadhimishwa kila ifikapo tarehe 05 May. Shirikisho la Sanaa Zanzibar (SHISAZA) limeandaa mkutano maalum wa waandishi wa habari kwenda kuzungumzia juu ya matayarisho ya maadhimisho ya mwaka huu 2024
Mkutano huo utafanyika tarehe 04 May, 2024 katika ukumbi wa Madinat Al Bahar saa 05:00 Mchana
tanzania



Shirikisho la Sanaa Zanzibar linawatakia waislamu wote mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
12/03/2024

Shirikisho la Sanaa Zanzibar linawatakia waislamu wote mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan

08/03/2024
Shirikisho la Sanaa Zanzibar linapenda kuchuwa nafasi adhimu kumpongeza Mh. Raisi wa Shirikisho la Sanaa Ndg. Mohd makam...
05/03/2024

Shirikisho la Sanaa Zanzibar linapenda kuchuwa nafasi adhimu kumpongeza Mh. Raisi wa Shirikisho la Sanaa Ndg. Mohd makame Abdulla (Laky) na Ndg. Amina Omar Juma (Siti Amina) kwa kuteuliwa kuwa wajumbe wa bodi ya Baraza la Sanaa Zanziabar.

SHISAZA inawatakia kheri na majukumu mema yakuendelea kusukuma gurudumu la Sanaa ya Zanzibar.
tanzania

Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajioun
01/03/2024

Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajioun

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi afariki dunia katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikol...
01/03/2024

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi afariki dunia katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu ya Saratani ya Mapafu tarehe 29 Februari 2024.
hmwinyi .9 .tanzania .5

Hairuhusiwi sanaa moja kuunda vyama tofauti Baada ya maazimio  ya kamati ya uongozi wa  shirikisho la sanaa Zanzibar ,sh...
29/02/2024

Hairuhusiwi sanaa moja kuunda vyama tofauti

Baada ya maazimio ya kamati ya uongozi wa shirikisho la sanaa Zanzibar ,shirikisho halitapokea chama chengine ambacho kinafanya sanaa Sawa na chama kilichopo ndani ya mwamvuli wa shirikisho, kwani hii inaweza kupelekea migogoro baina ya wasanii wa sanaa ya aina moja, wanachama na vyama. Ili tuupate umoja wa kweli, inatakiwa sanaa moja iwe na chama kimoja.
Kwani Kati ya lengo la Shirikisho la Sanaa Zanzibar ni kuleta Umoja.

Hivyo Katibu Mkuu wa Shirisho la Sanaa Zanzibar amewasihi viongozi wa vyama kuhakikisha wanajenga umoja ndani ya tasnia na vyama vyao

Katibu mkuu wa shirikisho la sanaa Zanzibar, Alinena hayo ktk mahojiano yaliofanyika katika kituo cha habari coconut fm kilichopo mnara wa mbao Kilimani Zanzibarhmwinyi .9 .tanzania .5

Address

Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tbc Nets posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category