Baraza la Vijana Kwaalinatu

Baraza la Vijana Kwaalinatu Katika kuhakikisha haukosi taarifa katika yale yanayofanyika Kwaalinatu tuko hapa kukufikishia kila kinachofanyika Kwaalinatu. Na jamii kiujumla.

Lakini pia kukujuulisha ratiba za mafunzo mbalimbali na fursa zilizopo kwa vijana.

This Sunday we managed to facilitate the content creation course in the photography. Our members have got the chance to ...
05/01/2026

This Sunday we managed to facilitate the content creation course in the photography. Our members have got the chance to enhance the experience in what they have learned in the previous weeks. Next week we are heading to photo editing field. (Sunday-11/01/25)

Ni wiki ya pili ya kozi ya Content création, mafunzo yetusafari hii tunayaelekeza katika   . Jinsi ya kupiga picha kali ...
23/12/2025

Ni wiki ya pili ya kozi ya Content création, mafunzo yetusafari hii tunayaelekeza katika . Jinsi ya kupiga picha kali na zenye kulifikia lengo.

Alhamdulillah jana ya tarehe 21/12/25 tumefanikiwa kutoa mafunzo ya camera Handling ambayo ni sehemu ya  Content creatio...
22/12/2025

Alhamdulillah jana ya tarehe 21/12/25 tumefanikiwa kutoa mafunzo ya camera Handling ambayo ni sehemu ya Content creation course. Ambayo inafanyika kila siku ya jumapili kwaalinatu Zanzibar. Na jumapili hii ya tarehe 28/12/25 tunaingia kwenye PHOTOGRAPHY course (kozi ya kupiga picha). Wasiliana nasi kupitia WhatsApp +255652341914 ili kupata maelezo zaidi.

Tunaendelea na Mafunzo yetu ya Content creation na mchango ni ule ule MAFUNZO YA 1,000,000 kwa 10,000 tuu. Ndani ya kwaa...
16/12/2025

Tunaendelea na Mafunzo yetu ya Content creation na mchango ni ule ule MAFUNZO YA 1,000,000 kwa 10,000 tuu. Ndani ya kwaalinatu si yakukosa mtu wangu.

Address

Kwaalinatu Zanzibar
Zanzibar

Telephone

+255777839735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baraza la Vijana Kwaalinatu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category