Mamlaka BLRA

Mamlaka  BLRA Serekali imeanzisha Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Utoaji leseni (BLRA) chini ya Sheria Nam. 1 ya mwaka 2025

07/08/2026
Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Mfumo Utoaji wa Leseni Zaninzibar Dkr Ramadhani Khamis Ramadhani amengoza kikao Cha Wad...
09/06/2026

Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Mfumo Utoaji wa Leseni Zaninzibar Dkr Ramadhani Khamis Ramadhani amengoza kikao Cha Wadau kwa kupitia Muongozo wa Utoaji wa Leseni Zanzibar katika Ukumbi wa BLRA Malindi tarehe 9/6/2026.

katika Kikao hicho kuliwalishwa rasimu ya Muongozo wa Utoaji wa Leseni Zanzibar kwa Wadau wa Leseni wa Leseni za Biashara Zanzibar na kusikiliza Maoni Mbali mbali ambayo yanaweza kufanikisha Malengo ya Muongozo wa Utoaji wa Leseni Zanzibar.

Mingoni mwa Walikwa hao wamese kuwa wamefurahi sana kushirikishwa katika kikao cha Muongozo wa Utoaji wa Leseni na kusema kuwa ukikamilika Muongozo utaweza kuwasaidia katika kurahisisha ukataji wa Leseni kwa kuondoaha Urasimu.

Muongozo huo Utakapo kamilika utawaidia Wafanya Biashara ili kupata Leseni, Kibali pamoja na ruhusa nyenginezo kwa urahisi zaidi.

Katika Kikao hicho Kilwashirikisha Wafanya blishra pamoja na Wajasiriamali.

Kitengo Cha Usiano BLRA.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti Utoaji wa Leseni Zanzibar (BLRA). Dkt Halima J. Wagao akiwa katika p...
22/05/2026

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti Utoaji wa Leseni Zanzibar (BLRA). Dkt Halima J. Wagao akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Baada ya kupiriahwa kwa Bajeti ya Wizara.

Bejeti hio ya ya Wizara ilisomwa na Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe. Shariff A. Shariff katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Mkoa wa Mjini Magharibi.

Katika Uwasilishwaji wa Bageti hio uliwasilishwa Makadiri na Mapato pamoja na Matumizi ya Wizara kwa Ujumla

Kitengo Cha Uhusiano BLRA

Maafisa wa Mamlaka ya Usimamizi Udhibiti Utoaji wa Leseni za Biashara Zanzibar (BLRA) wakishiriki katika Maadhimisho ya ...
01/05/2026

Maafisa wa Mamlaka ya Usimamizi Udhibiti Utoaji wa Leseni za Biashara Zanzibar (BLRA) wakishiriki katika Maadhimisho ya Skuku ya Wafanyakizi Mei Mosi katika Viwanja vya Dole Wilaya ya Magharibi A Unguja.

Kitengo Cha Uhusiano BLRA.

Address

ZANZIBAR
Zanzibar
1175

Telephone

+255776788441

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mamlaka BLRA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category