Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi

  • Home
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ni mkuu wa Nchi na anatekeleza madaraka yake aliyopewa kikatiba na katiba ya Zanzibar.

22/10/2019
21/10/2019

Lazima tuendeleze zaidi jitihada za kuimarisha Uhusiano baina ya nchi jirani na nchi nyengine duniani.

10/10/2019

Ninaendelea kusisitiza ya kwamba tusisahau tulikotoka, na hapa tulipofika ni nguvu za Mwenyezi Mungu na nguvu za WAZEE.

Tuendelee kusimamia MAADILI katika nchi yetu.

24/08/2019

Ikulu habari Zanzibar
Ikulu Zanzibar

23/08/2019

Asalam Aleikum,

Jumaa Mubarak, Nawatakia wananchi wenzangu wa Zanzibar na watanzania wote kwa ujumla, kheri ya siku hii tukufu ya leo katika wiki.

Address

STATE HOUSE

P.O.BOX2422

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your organization to be the top-listed Government Service?

Share