04/05/2026
PARIS INAKWENDA KUNG’ARA!
Je, umechoka na mshindo wa jiji na unahitaji utulivu wa nafsi? Huu hapa ndio mwaliko wako wa kipekee! Ungana nasi katika Kongamano Kuu la Kiroho litakalofanyika katikati ya jiji la Paris.
Safari hii si ya kawaida tunajifunza siri ya mafanikio kupitia Tabia za Mtume ﷺ.
Ni wakati wa kuisafisha mioyo na kuipa nuru ya imani.
Mgeni Rasmi: Sheikh Aboubacar Misigaro (Kutoka Burundi 🇧🇮)
🎙 Wazungumzaji: Sh. Abdul Hamid, Dr. Nasser, na Sh. Ahmad Kassa.
📅 Jumamosi, 09 Mei 2026
📍 Kwenye ukumbi wa Royal Palace, 29 Blvd du Maréchal Leclerc, 94340.
"Kukaa karibu na muuza manukato, hakukosi kunusa harufu nzuri." Usikose fursa hii ya kunusa manukato ya elimu! 🌹