Katiba mpya 2022

Katiba mpya 2022 Watanzania tuna nataka amani bila uwoga Wala kitisho tunataka katiba mpya 2022

Katiba iko wap?
17/07/2022

Katiba iko wap?

Watanzania tuna dai Aki watanzania tunataka amani tume pata habari punde kua Kuna kabisa limevamia na mtu anaye jiita af...
17/07/2022

Watanzania tuna dai Aki watanzania tunataka amani tume pata habari punde kua Kuna kabisa limevamia na mtu anaye jiita afisa usalama Kisha kufukunza watu kanisani ndo huuru hupi nauliza watanzania wa kuabudu ndo huuru upi wa kunyimwa Aki ya kuabudu tuna taka Aki tunataka katiba mpya poleni Sana watu mlio fukunzwa ibadani muda wa kudai Aki ndo u na saa ndo Sasa na wakati ndo hu

Ongereni Sana wanasingisi kwa kudai Aki yenu kwa amani bila ugovi u ndo muda wa chadema kurudi kwa kishindo
17/07/2022

Ongereni Sana wanasingisi kwa kudai Aki yenu kwa amani bila ugovi u ndo muda wa chadema kurudi kwa kishindo

Ongoreni Sana muda wa mabadiliko ndo huuu watanzania tunataka amani tunadai aki
17/07/2022

Ongoreni Sana muda wa mabadiliko ndo huuu watanzania tunataka amani tunadai aki

TUNATAKA TAIFA LENYE UWAZI 👇👇👇Hakuna anayempinga  Royal Tour.Tunahoji kauli kwamba watanzania wamechangia hiyo kazi.1. N...
10/07/2022

TUNATAKA TAIFA LENYE UWAZI 👇👇👇

Hakuna anayempinga Royal Tour.Tunahoji kauli kwamba watanzania wamechangia hiyo kazi.
1. Ni akina nani?
2. Makampuni gani?
3.Wito ulitolewa lini na nani?
4. Kwanini wanafichwa?
5. Wamepewa ahadi gani?
6.Wakusanyaji ni nani?
7.Kiasi gani kilikusanywa?"Joseph Selasin

Watanzania wanataka majibu

Rais Wa Tanzania Mama Samia Suluhu

10/07/2022

WARIOBA,KABUDI, NA HARAKATI ZA KATIBA MPYA..

KWA UFUPI

Jaji Warioba na wajumbe wenzake, Profesa Palamagamba Kabudi, Joseph Butiku, Hamphrey Polepole, Mwantumu Malale na Awadh Ali Said walitoa ufafanuzi huo katika mdahalo la Katiba lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere jana.

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba na wajumbe wa tume hiyo, jana walitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kuhusu mchakato wa Katiba katika mjadala uliofanyika hapa kiasi cha kuwafanya waliohudhuria siyo tu kumshangilia, bali walimsindikiza hadi alipoingia kwenye gari lake na wakilifuata na kulisukuma.

Jaji Warioba na wajumbe wenzake, Profesa Palamagamba Kabudi, Joseph Butiku, Hamphrey Polepole, Mwantumu Malale na Awadh Ali Said walitoa ufafanuzi huo katika mdahalo la Katiba lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere jana.

Jaji Warioba ndiye alianza kuzungumza kwa kukanusha madai yaliyotolewa juzi katika mdahalo mwingine, kuwa amepeleka maoni mapya serikalini.

Alisema madai hayo hayana ukweli bali maoni aliyowasilisha serikalini yalitokana na maoni ya wananchi waliyokusanya wakati wakiandaa Rasimu ya Kwanza ya Katiba ambayo yataweza kusaidia katika kuandaa Katiba ya Tanganyika.

Juzi, katika mdahalo uliorushwa na Star TV, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi alidai kuwa Jaji Warioba amewasilisha serikalini maoni mapya, ukiacha yale ambayo yapo katika Rasimu ya Katiba.

Jaji Warioba alisema Tume iliandaa sura ya kwanza iliyohusu mali na maliasili na sura ya tano kuhusu Serikali ya Muungano na sura ya nne iliyoelezea serikali za mitaa.

“Sura ya nne na tano tulibaki nazo lakini Machi 27, mwaka huu niliandika barua kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Chikawe (Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe) kwa kuwa alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria kipindi hicho na nikawakabidhi ili isaidie katika mchakato wa Katiba hasa wakati wa kuandaa Katiba ya Tanganyika,” alisema Jaj

10/07/2022

Watanzania tuna taka amani

Watanzania tuna nataka amani bila uwoga Wala kitisho tunataka katiba mpya 2022

Juzi punde old Moshi kamwaga Siri Ela za Kodi ya wananchi wanao tafuta Ela kwa jasho na vileo wamama wanao beba ndizi Ki...
10/07/2022

Juzi punde old Moshi kamwaga Siri Ela za Kodi ya wananchi wanao tafuta Ela kwa jasho na vileo wamama wanao beba ndizi Kisha kulipa Kodi uwa Zina ifaziwa kwenye makonta Kisha kula kwa watoto wa vingozi pia old moshi alipo kua akisema maneno ayo alisema ata K**a akisema kesho watamtumia Ela tu Cha kufanya ni kubadili katiba mpya Watanzania wanalia Ali ngumu lakini watoto wa viongozi wanakula Ela nnje za Kodi jaman watanzania tunataka katiba mpya

10/07/2022

Watanzania tuna dai Aki watanzania tunataka amani

Adresse

Bensheim

Webseite

Benachrichtigungen

Lassen Sie sich von uns eine E-Mail senden und seien Sie der erste der Neuigkeiten und Aktionen von Katiba mpya 2022 erfährt. Ihre E-Mail-Adresse wird nicht für andere Zwecke verwendet und Sie können sich jederzeit abmelden.

Die Organisation Kontaktieren

Nachricht an Katiba mpya 2022 senden:

Teilen