11/06/2026
SHA ITAKUJA KUKUOKOA SIKU YA SHIDA - SENETA DKT MUNGATANA AKIWA BULA BRIDGE
Nilifika kwa familia ya Marehemu Boneya aliyetuwacha baada ya kuugua kwa muda.
Nilichukua nafasi hiyo kutoa pole na pia kuwahimiza wanainchi waliokuwapo kujiandikisha kwa SHA.
Niliwapatia nfano wa Mzee wetu mmoja aliyekuwa unahitaji milioni moja na nusu kwa upasuaji. SHA ililipa 950,000 na tulifanya mchango wa kujazia tu.
Tukijiandikisha na SHA, ugonjwa haitatufanya tuuze ngombe wala shamba.
Mungu aibariki Tanariver.