12/06/2026
Kuna madam alikuwa anitumie 200ksh but instead akakosea akatuma 2000ksh....But juu naelewa zile shida mtu anapitia ndio apate pesa na pia coz of humanity and being kind ,nimerudishia pesa yake back na akasema nimtumie 1750ksh...Ingekuwa ni wewe kwa hii situation ungefanya nini??😂😂😂