Mkaza Mwangiri

Mkaza Mwangiri STORY TELLER

21/11/2023

SIKATAI niko na Bwana💘.. but haka kaboy kamekuja kwa plot manze ni fire 😍. To make matters worse, tushaanza kuvibe, number tumeExchange and guess what, kashaniitia date, makofi 😂. I had to lie to my hubby,,, sister yangu mwenye anakaa Nakuru ni msick. I have to attend to her, my hubby being that fine boy too, hakukataa, alikubali then mimi huyo 8pm natoka in the name of going to Nakuru.

Of course siendi Nakuru, naenda kwa kevoh the 2 months old tenant, na kako single sijai ona kakiwa na mtu, makofi 👏 😂.

Natoka naenda hadi tao just to buy time ndio by saa mbili nirudi k**a hubby amelala then niingie kwa Kevo bila wasiwasi 😂. Plan inaenda tu fiti, saa mbili inafika nacall📲 hubby nmwambia babe, guess what nishafika Nakuru, siz stable kiasi so acha nilale tuongee morning😂. Good night love, good night too, story inakatika mimi huyo kwa Kevoh🍆🍑.

Around saa mbili na nusu, tukiwa kwa Kevoh tunasikia mtu akibisha✊ kumbe ni bwana yangu. Of course Kevoh anamjua so ananisignal najificha. Mimi huyo chini ya kitanda. Natense, jasho🥵 manze nikidhani maybe ashajua niko kwa kevoh, kumbe si venye nafikiria, amekuja tu kuomba kitu, makofi 😂😂🔥. "Hey, sasa kevoh, please uko na condom nane unisaidie? Hii kitu🍑 leo lazima inuke mayai choma" now ngoja kwanza, hiyo makofi usipige kwanza, bwana yangu, siko kwa nyumba, condom nane anaomba za nini🤔? Leave alone that one, ju Kevoh alimpea, mtu ambaye sijai ona akiwa na dem condoms anakaa nazo za nini🙄?

As we speak nimetoka Nakuru na 10minutes niko kwangu nabisha✊ bwana amekataa kufungua anasema mimi ni pepo anajua niko Nakuru.🙄
Mlisema bunduki ni pesa ngapi??

07/10/2023
29/09/2023

Saa kubebwa kwa mgongo na mwendawazimu mwanaume tao ni kitu ya kutuma nitrend🤭🤭.Na wenye walimwambia aniwekee chini najua mko hapa sikufurahia kabsa😆😆 sometimes learn how to mind your own business mnajua tulikua tunaenda wapi?

27/09/2023

Amenispank matako floololololoooooo nikanyamba amesema asinipate Kwa nyumba akirudi

24/09/2023

GUYS BE WARNED....
"Yesterday i went home very late from delivering wallpapers and because there was no other means of transport, i decided to use a bodaboda. I then arrived home, paid the guy and left. As i approached our gate, i saw the boda guy following me, i quickly changed direction and started moving away from the gate but the guy continued following me, i walked faster, the guy akaongeza speed, nikajua hii ni shida nikaanza kukimbia, wacha anifuate, nikaingia kichakani and the guy followed me, wacha tukimbizane tukapelekana kwa muda but after kuhema sana, nikajikakamua , nikasimama and i faced the man nikamuuliza, mbona unanikimbiza?? the guy replied, softly, "nipatie helmet yangu😭😭
Follow Mkaza Mwangiri for more

14/09/2023

Naambiwa k**a bado naeka unga ya ugali kwa ndoo i need to work hard 😭😭😭😭
Kwani nyinyi munaeka wapi😂😂😂

wadau mlisema k**a mtu anakunywia yoghurt kwa gari afanyie nini kamkebe juu nikikatupa kakiwa ivo ancestors watakasirika...
06/09/2023

wadau mlisema k**a mtu anakunywia yoghurt kwa gari afanyie nini kamkebe juu nikikatupa kakiwa ivo ancestors watakasirika😩. am tempted nijifunike kikoi nianze kukalamba

06/09/2023

Heeeeeeee.. Ebu kujeni huku😭😭😭😭😭 katanuka Leo aki😭😭😭.. So today my guy akaniambia niende job yake nikamwangalilie sijui anafaa kupeleka miguu wapi woiii😭😭😭.. Si Mimi babygurl nikaenda .. Akona shop ya mpesa na electronics as side hustle so mwenye hukua Leo alikua msick.. Kitu saa tano nimekaa hapo nimetulia 🤧🤧🤧 kadame kakakuja kaslay queen ati kanaitwa (Mercy😭😭na huruma alisema ibaki kuwa town) anyway dame akakuja ati sasa kwani Robert hajakuja bado nikamuangalia kwanza juu chini nikajua huyu hana shida ya simu na hajakuja kutoa pesa.. Nikamwambia ameendea stock of which ni uongo juu sikujua place alikua.. (Ule dame mwenye anakuanga ameandikwa job anaitwa Dee ) so she was like aki Dee kwani Robert hakujua Leo tukona date na vile nimekuja mapema.. Nikashindwa sasa huyu siaangalie kwanza anaongelesha nani🙆🙆 nikamwambia Dee hajaingia Leo pia .. Ati ooh so we ni nani nikamshow cousin ya Robert of which ni uongo😭😭😭😭.. (Kwanza nikikumbuka sijanyesha bado 🤧🤧i hope delay iko kwote).. Akasema ooh mi ni inlaw wako sijui nyoof nyoof nyuuf 🤦🏽🤦🏽im like who asked you .. So nikampea kiti akakaa akaanza kutaka kujua info.. Acha aropokwe.. Ooh i really love him and ata I wanted to surprise him nimwambie nikona bol sijui nyoff.. Ooh tulibuy plot Juja atanijengea sijui nini.. I'm like ooh thats nice😂😂😂.. Sa hio nilikua nawashwa sijui k**a nini.. Anyways after kitu 30 minutes mubaba akaingia na mlango ya nyuma akishout aki babe pole nimechelewa sijui nini..🤧🤧 nikanyamaza dame pia akachanganikiwa.. Si Mimi nikaanza kuandika hii post😭😭😭weuh wacha mubaba aone huyo dame ashtuke ati Mercy unadu nini hapa 🤧🤧.. Nikamuuliza kwani unaongelesha mgeni aje na vile amekungoja (I was being a bitch) .. Mike ako zile za kamum usijam naeza explain😭😭😭. Long story short niko hapa naivas nanunua Tampoon.. Stress ilifanya nianze 🤧🤧🤧.. Sai Niko mteja.. Enyewe Huruma imebaki kua Town😭😭😭🤧

21/08/2023

k**a bwanako bado anavaa underwear, mwambie he got a long way to go na si kwa ubaya

21/08/2023

madem wa salon mjifunze kuchange izo innewear before muingie job. mkisonga watu mnanukisha sana izo masuruali. zinanuka k**a inner wear ya ule mganga.

21/08/2023

nikona beshte msuupu sana but ako ivi ivi tu. yaani anajibeba umalenge hajui hata kuringa like unapata tukitembea anashikwa mkono hadi na mastreet boys na pia conductors wamejaa miraa kwa mdomo. alafu anaanza kucheka. another day akanipitia apo job unapata hao bebabeba wa tao na vile ni wachafu wanaanza kumchezea mi hushindwa bona na vile kuna warembo wengi na hawadharauliwi k**a yeye? another day akanipitia salon akaenda apo nje kupiga simu mara kijamaa kikakuja kikiwa kimebeba kingunia kichafu kikamsimamia apo kikaanza kumkatia. hawaoni yeye si class yao😩

21/08/2023

place mi huuzia ma underwears si kuna kijana tall dark and handsome anafanya na taxie. sasa nmekua nkimtamani sana mi humwangalia na upande asione, na ye napata ananiangalia sana. leo vile nmefunga job nmeona new number ikinitext nikasave haraka kuchungulia whatsapp nikakuta ni uyo crush wangu😋.
tumechat kiasi then akaniuliza my level of education si mnisaidie na correct spelling ya keiyu. as in keiyu yunivasity😌

Address

0768266095
Kilifi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkaza Mwangiri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category