Marere Mwakulinga

Call Directions Contact the organization

Marere Mwakulinga Sports Reporter. Journalist. Sports Commentator. Content Creator. Public Relations Expert Kwale County, Kenya.
(1)

Bournemouth ndio wameshikilia kibarua Cha Michael Carrick weekend. Muwe watu wema Bournemouth, Carrick yuko na watoto wa...
23/10/2026

Bournemouth ndio wameshikilia kibarua Cha Michael Carrick weekend. Muwe watu wema Bournemouth, Carrick yuko na watoto wadogo msimuoteshee nyasi kibarua chake.

Ni hayo kwa Leo. Jumma'a Kareem.

JSS here we come. Pole pole tutafika Mungu akiwa Dereva. Congratulations dota on your graduation πŸŽ“
23/10/2026

JSS here we come. Pole pole tutafika Mungu akiwa Dereva. Congratulations dota on your graduation πŸŽ“

Baada ya Liverpool kuipiga Villarreal mabao 4-3, kwenye Kombe Klabu Bingwa Barani Ulaya walichapisha bango iliyo na mane...
22/10/2026

Baada ya Liverpool kuipiga Villarreal mabao 4-3, kwenye Kombe Klabu Bingwa Barani Ulaya walichapisha bango iliyo na maneno ya kiswahili yasemayo "MPIRA HUO", kiingereza ikimaanisha "THAT'S FOOTBALL"

Arsenal watoka sare 2-2 dhidi ya Bayern Munich Kombe Klabu Bingwa Barani Ulaya, Saka naye amepata jeraha la msuli.
22/10/2026

Arsenal watoka sare 2-2 dhidi ya Bayern Munich Kombe Klabu Bingwa Barani Ulaya, Saka naye amepata jeraha la msuli.

Baada ya kipigo Cha 4-1 dhidi ya Como Fc huko Italia kwenye ligi ya Mabingwa, Kocha Mkuu wa Manchester United Michael "K...
22/10/2026

Baada ya kipigo Cha 4-1 dhidi ya Como Fc huko Italia kwenye ligi ya Mabingwa, Kocha Mkuu wa Manchester United Michael "Kariuki" Carrick amewaomba msamaha mashabiki takriban 700 waliosafiri kwenda kuangalia mchuano huo.

Kocha wa Como ni Cesc Fabregas.

"Ndio mpira wetu huo siku hizi" alisikika Shabiki mmoja wa Man Utd Mjini Kwale.

Ni Club au ni Club Soda...!

Klabu ya Mombasa United Ina Nia ya kusaka mdhamini na washirika wengine baada ya Kinara(Patron) Hon Suleiman Shabal kuji...
22/10/2026

Klabu ya Mombasa United Ina Nia ya kusaka mdhamini na washirika wengine baada ya Kinara(Patron) Hon Suleiman Shabal kujitoa kwenye wadhifa huo.

Eti Como 4-1 Man Utd
21/10/2026

Eti Como 4-1 Man Utd

58' Como 3-0 Man Utd Waah
21/10/2026

58' Como 3-0 Man Utd

Waah

🌟 HADITHI YA MAFANIKIO YA DJC | KUTOKA DIANI HADI DUNIANI! βš½πŸ‡°πŸ‡ͺNdoto zingine huanzia kwenye uwanja wa mpira, na katika Di...
21/10/2026

🌟 HADITHI YA MAFANIKIO YA DJC | KUTOKA DIANI HADI DUNIANI! βš½πŸ‡°πŸ‡ͺ

Ndoto zingine huanzia kwenye uwanja wa mpira, na katika Diani Junior Cup, tunajivunia kuwa sehemu ya kuzifanya ndoto hizo kuwa kweli!

Leila Bakari Mwanakombo alishiriki katika toleo la 3 la Diani Junior Cup, akiwakilisha Simba Soccer Academy. Kipaji chake kilimvutia mmoja wa waandaaji wa DJC, Bw. Dominic Kirimi, ambaye alimunganisha na kocha mkuu wa timu ya taifa.

Leila aliitwa kwa majaribio, akatumia fursa hiyo vizuri na kufaulu. Safari yake imeendelea kupiga hatua kubwa, kwani amepata ufadhili kamili wa masomo katika Spire Academy nchini Marekani! πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸŽ“βš½

Pia tunajivunia kumwona akiiwakilisha Kenya kupitia Harambee Junior Starlets katika Kombe la Dunia la FIFA la Wasichana chini ya umri wa miaka 17! πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ†

Hii ndiyo maana ya Diani Junior Cup: kufungua milango, kuibua vipaji na kuwapa vijana kutoka Kaunti ya Kwale jukwaa wanalostahili ili kuonyesha uwezo wao, kupata elimu bora na kutimiza ndoto zao hata nje ya mipaka ya nchi.

Kutoka Simba Soccer Academy, kupitia Diani Junior Cup, hadi Spire Academy nchini Marekani β€” safari ya Leila ni msukumo kwa kila kijana mwenye ndoto ya kufanikiwa kupitia soka!

DJC, tunajivunia kuwa sehemu ya safari hii. β€οΈπŸ’šπŸ’™

πŸ”₯ TOLEO LA 6 LINAKUJA HIVI KARIBUNI!

Toleo jingine. Fursa nyingine. Kizazi kingine cha vijana wenye ndoto zinazongojea kutimia!

Full Time: Kenya Police FC 1-2 AFC Leopards
20/10/2026

Full Time: Kenya Police FC 1-2 AFC Leopards

Address

Kwale Tabasamu Estate
Kwale

Telephone

+254728496020

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Marere Mwakulinga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Marere Mwakulinga:

Shortcuts

Share