12/05/2026
Whether WANTAM or TUTAM Kina Kalonzo ,Gachagua na Matiangi hawawezi toa William Samoei Ruto
Jamaa amejipanga na vikundi za wamama na vijana huko mashinani📍📍
Wanachanga 750 per person wanaletewa a package of shopping worthy 5k per householdHon. Mwengi Mutuse, OGWGW OGW can confirm this