14/06/2026
Baadaye mchana, Pamoja na viongozi wengine kutoka Kaunti ya Uasin Gishu, tuliambatana na Mkuu wa Utumishi wa Umma Mhe. Felix Koskei pamoja na Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge la Seneti Mhe. Aaron Cheruiyot kwenye ibada ya Jumapili, katika Kanisa la Anglikana Parokia ya Mtakatifu Petro katika Eneo Bunge la Kesses, Kaunti ya Uasin Gishu.
kisha tukatoa mchango wa kuendeleza ujenzi wa kanisa hilo.