06/09/2024
Napenda hii story ya transformation ya Pastor T Mwangi
Jamaa aliamua kutembea na God time everything ilikua ni hepi na kujibamba.. but jamaa akaamua akachoose God. .
God Akimwambia left akachoose left,akimwambia right inabidi anasonga nayo, akimwambia sare stuff za dirty anasare, akimwambia Kam Kesha anatokezea, kuja church mapema Ndio huyo jamaa nayo nayo.
Imenifanya nielewe kabla Ufike mahali kwa life lazima ukubali kuanza na God.
Kuna place lazima uanze na yeye... Ukubali akutengeneze si vile wewe unataka but vile yeye anataka.
Lazima ukubali akukunjue juu umekunjwa sana, lazima ukubali akunyoroshe juu uko na bends nyingi. Ni bidii, nikuamuka kutoka chini, nikuamua kuachana na mbogi za shetani ujiingishe kwa system ya God. Nikukubali neno ikutengeneze juu God ni hiyo word.
Word yake ni life, word yake ni maji inaosha, word yake ni hope, word yake ni nguvu.... Unaeza kosa kuiona but slowly Ina work.
Then God akaanza polepole kufungua stuff za Pastor T,akampatia wife baada ya ma heaetbreaks kibao, God akaanza ku open up platforms, akaanza kufungua gates za nations, aka amplify sauti yake ikaanza kuresonate na generation
Juu jamaa alikua willing kupay the price, alijua without God na principles zake siezi....
Napenda Trajectory God ameweka mbele yake.... Nations Zina open up gates zinajifungua before him juu ameweka God mbele.....
God ni faithful, but lazima ukubali process... Hakuna shortcut, lazima u follow his word, his principles, his ways na u be able to submit to his lead.
Najaribu kusema nini? God is a maker of men, He is able to turn your story around. He is ABLE. But patience jamaa, patience na kuamini, kujiweka available kwa God. Ukiskia sare hii dhambi unasare, ukiskia omba unajituma kuomba, ukiskia soma neno wewe nayo nayo unasoma.
Bro You only need to believe that God came into flesh to save you. He paid all on the cross for you. And because of that He is ready to save your life. He has done all to get you out of that mess. JUST BELIEVE IN JESUS CHRIST.
You can come to Him Just the way You Are but be willing to walk with Him just the way He wants you to walk and not How you want to walk. It's about HIM.