12/10/2026
🔥 Facebook inalipa! Vijana mnaona vile game inabadilika? 👀📱
Siku hizi simu si ya ku-scroll tu na kuangalia memes 😂 Unaweza kutumia talent yako, creativity na content kujiwekea njia ya kupata income kupitia Facebook monetization.
Huyu kijana anashare experience yake na vile monetization inasaidia vijana. Imagine kitu ulikuwa unafanya for fun kinaanza kukupea opportunities! 🙌🏽
Lakini si magic ya overnight success — ni consistency, original content, kujifunza na kufanya kazi smart. 💯
🚀 The Creator Journey inakuja kufungua opportunities zaidi kwa creators wa Elgeyo Marakwet!
🎓 FREE Masterclass
👥 200 places available
📅 Applications close Wednesday, 14th October 2026
🔞 Kwa creators wenye miaka 18–35 kutoka Elgeyo Marakwet.
Usibaki kwa sidelines ukitazama wengine wakigrow. Chukua hatua, jifunze na ufanye talent yako ikulipie!
Big up kwa CS ICT Hon. William Kabogo Gitau , PS Eng John Tanui na Dennis itumbi kwa juhudi za kukuza digital economy na kufungua opportunities kwa vijana kupitia digital platforms.
👉 Apply hapa: https://makeitcountdigital.com/creator-journey