Mswahili

Mswahili Sanaa: Hadithi fupi, visa, vichekesho, misemo, vioja mitaani, ushairi na msamiati.

17/07/2023

"Sometimes MIRACLES are just good people who CROSS our PATH" Robert De

Siku ya Kiswahili duniani.
07/07/2023

Siku ya Kiswahili duniani.

MAADHIMISHO ya Siku ya Kiswahili Duniani (SIKIDU) yalifanyika kwa mara ya kwanza mnamo 2022 baada ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kutenga Julai 7 kila mwaka kuwa siku ya kuadhimishwa kwa lugha hiyo kimataifa.

06/07/2023

Wakati Nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kumkuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatarishi. Hata vitu k**a mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa. Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi kwa sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Shughuli ni pale unapogundua hujui kingereza wala kiswahili

31/12/2022

Happy new year 2023 from The Mbogo's.

07/10/2022

ALHAMISI iliyopita niliandika kuhusu Kongamano la Kiswahili lililoandaliwa na Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) lililofanyika jijini Washington DC, Marekani.

07/07/2022

Siku ya lugha ya Kiswahili duniani.

08/06/2022

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kimetia saini makubaliano na taasisi tatu za elimu ya juu katika mataifa ya Afrika kuhusu ufundishaji Kiswahili, Waziri mmoja wa serikali ya Tanzania aliliambia bunge Jumatatu.

Kiswahili kitukuzwe.
06/04/2022

Kiswahili kitukuzwe.

Once just an obscure island dialect of an African Bantu tongue, Swahili has evolved into Africa’s most internationally recognized language. It is peer to the few languages of the world that boast over 200 million users.

Kiswahili kitukuzwe.
09/03/2022

Kiswahili kitukuzwe.

Kiswahili kitukuzwe.
14/02/2022

Kiswahili kitukuzwe.

KISWAHILI sasa kitaanza kufunzwa nchini Ethiopia siku chache baada ya lugha hiyo kuidhinishwa kutumika kuendesha shughuli rasmi za Umoja wa Afrika (AU).

08/02/2022

UMOJA wa Afrika (AU) sasa utaanza kutumia Kiswahili k**a moja ya lugha kuu kuendeshea kazi zake, kufuatia hoja iliyopitishwa kwenye kongamano kuu la shirika hilo Jumapili jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Address

2017
Nyeri
254

Telephone

+254736280703

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category