25/01/2018
sikupenda tukienda rave, rave ilikua ni kejani.
Tukichoka na jikoni,tunaruka kitandani
Huyu msupa tulikua tunapenda sana, vako tungewachana kamba shingoni zingepatana.
uliza hata mama mboga namba yangu nishampatia
akiona boy yeyote mtaani anatry kumkatia nangoz ananidungia!