31/05/2026
MISINGI 6 YA KUWA NA FURAHA KATIKA MAISHA.
1- Usimchukie yeyote hata k**a atakukosea sana.
2- Ishi maisha ya kawaida hata k**a upo juu kimaisha.
3- Tarajia baraka hata k**a magumu yanakusonga.
4- Toa hata k**a wewe umenyimwa.
5- Onyesha tabasamu hata k**a moyo unavuja damu.
6- Usiache kuwaombea wengine hata k**a yako hayajajibiwa.
đź’•