Mwandet Secondary School

Mwandet Secondary School Karibu upate kilicho bora zaidi kwa malezi ya kijana wa kitanzania Shule ya sekondari mwandet ipo Mkoani Arusha wilaya ya Arumeru katika Kata ya Mwandet.
(7)

Jina la shule limebeba jina la kata nzima yenye vijiji vinne; Losikito, engutoto, Engalaoni na Imbibia. Shule ipo katika kijiji cha Imbibia. Shule hii imezungukwa na jamii ya Kimasai hivyo kuwa katika mazingira rafiki ya kusoma bila kuchangamana sana na tamaduni za mijini. Shule ipo umbali wa Kilometa 12 kutoka katika mji mdogo wa Ngaramtoni. Shule ina kidato cha kwanza mpaka cha sita, na wanafunzi takribani 800 wanaotoka maeneo mbalimbali ya Tanzania

KARIBU SANA MWANDET

Address

Ngaramtoni
Arusha
14086

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwandet Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mwandet Secondary School:

Share

Category