Babati District Council

Babati District Council Halmashauri ya Wilaya ya Babati ni mojawapo kati ya Halmashauri 2 za Wilaya ya Babati na ni moja kati ya Halmashauri 6 za Mkoa wa Manyara. Wilaya ya Babati

Wilaya ya Babati ilizinduliwa rasmi Julai mwaka 1986 baada ya kuanzishwa rasmi kwa tangazo la gazeti la serikali namba 403 la tarehe 1 Oktoba, 1985 la kugawanywa Wilaya ya Hanang’ na kuundwa Wilaya mbili za Babati na Hanang’. Mwaka 2004 Halmashauri ya Wilaya ya Babati iligawanyika na kuanzishwa kwa Halmashauri ya Mji kwa mujibu wa GN 352 ya tarehe 17 Septemba, 2004.

15/07/2017

Halmashauri ya Wilaya ya Baba

Address

P. O BOX 400
Babati

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Babati District Council posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Babati District Council:

Share