Jimbo la Bagamoyo

Jimbo la Bagamoyo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jimbo la Bagamoyo, Government Organization, Pwani, Bagamoyo.

a. Iddi Nassoro Rajabu. Ni matumaini yangu ni mzima wa afya ndugu msomaji wa DUNDA KWANZA BLOG na karibu sana katika sik...
20/03/2024

a. Iddi Nassoro Rajabu. Ni matumaini yangu ni mzima wa afya ndugu msomaji wa DUNDA KWANZA BLOG na karibu sana katika siku ya leo kwaajili ya kujifunza. Leo katika makala yetu tutajifunza Kanuni 6 za Mafanikio ambazo Kijana anapaswa Kuzifuata. Zifuatazo ni Kanuni 6 za Mafanikio ambazo Kijana wa sasa anapaswa Kuzifuata 1. Jiamini wewe Mwenyewe Vijana wengi mara nyingi hutafuta ushauri wa Mafanikio kwa watu mbalimbali ili kufanikiwa....

a. Iddi Nassoro Rajabu. Ni matumaini yangu ni mzima wa afya ndugu msomaji wa DUNDA KWANZA BLOG na karibu sana katika siku ya leo kwaajili ya kujifunza. Leo katika makala yetu tutajifunza&…

VCCM KATA YA DUNDA Na. Iddi Nassoro Rajabu Leo tarehe 03/09/2020 Kamati ya Utekelezaji ya umoja wa vijana wa ccm kata ya...
20/03/2024

VCCM KATA YA DUNDA Na. Iddi Nassoro Rajabu Leo tarehe 03/09/2020 Kamati ya Utekelezaji ya umoja wa vijana wa ccm kata ya Dunda imekaa kikao chake kujadili maandalizi ya uchaguzi wa Chipukizi wa CCM ngazi ya matawi na kata unaotarajiwa kufanyika mnamo tarehe 12/09/2023 (ngazi ya matawi ) na tarehe 17/09/2023 (ngazi ya kata). Kikao hicho kilikaliwa baada ya kupokea maelekezo na muongozo kutoka katika kamati ya uendeshaji ya chipukizi ya wilaya ya Bagamoyo ambapo Kamati hiyo ya uendeshaji ya chipukizi ngazi ya wilaya ilizitaka kamati za uendeshaji za chipukizi za kata mbalimbali za jimbo la Bagamoyo haraka iwezekanavyo kuitisha vikao vya kamati ya utekelezaji za jumuiya hiyo na kujadili agenda hiyo ya maandalizi ya uchaguzi wa chipukizi ngazi za matawi na kata....

VCCM KATA YA DUNDA Na. Iddi Nassoro Rajabu Leo tarehe 03/09/2020 Kamati ya Utekelezaji ya umoja wa vijana wa ccm kata ya Dunda imekaa kikao chake kujadili maandalizi ya uchaguzi wa Chipuk…

Address

Pwani
Bagamoyo
61301

Telephone

+255692776008

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jimbo la Bagamoyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Jimbo la Bagamoyo:

Share