18/04/2024
: “Jumamosi sisi hatuna upande sisi tunaenda kumuangalia mchezaji wetu tu ikimpendeza mungu, Ni kweli kuwa tumetuma ofa ya Clement Mzize kwa klabu ya Yanga tunasubiri tuone k**a tutajibiwa lakini ubaoni imewekwa pesa ya kutosha, mshahara wa kutosha na maslahi yote ambayo anastahili mchezaji mkubwa k**a Mzize…
….sisi hatutekenyi na tulishaacha masihara zamani sana tuko siriazi sasa hivi, huu uwanja msimu ujao kutoka giants hao kuna wachezaji mtawaona k**a wakikubali kutupa, hizi timu mbili za kariakoo Simba na Yanga kuna wachezaji wanne sisi tutakuwa nao msimu ujao wapo wazawa pia wapo wageni na baada ya ofa hii ya kwanza wiki inayoanza jumatatu itatumwa ofa nyingine na kuna mwingine ni special sana zaidi ya wengine’’ - Hasheem Ibwe.