Organization for Pemba Social Support: OPSS

Organization for Pemba Social Support: OPSS Kuisaidia Jamii ya Pemba

19/09/2023
Jumuiya ya opss leo tarehe 15/09/2023 imefanya kongamano la wahitimu wa kidato cha sita juu ya hali ya maisha ya vyuoni ...
19/09/2023

Jumuiya ya opss leo tarehe 15/09/2023 imefanya kongamano la wahitimu wa kidato cha sita juu ya hali ya maisha ya vyuoni yalivo na kuchukua fani ambazo zitawaletea faida na sio kufuata mkumbo na kujiepusha na mambo maovu kwakua wapo huru.

Bi Halima akishirikia na wana OPSS akimkabidhi Mwananchi wa Pondeani mzigo ambao una vitu vitavyomsaidia katika maisha
25/03/2021

Bi Halima akishirikia na wana OPSS akimkabidhi Mwananchi wa Pondeani mzigo ambao una vitu vitavyomsaidia katika maisha

Mwenyekiti wa OPSS akiwa na Sheha wa shehia ya Pondeani katika shuguli ya ugawaji wa Nguo na Vifaa mbali mbali kwa Famil...
25/03/2021

Mwenyekiti wa OPSS akiwa na Sheha wa shehia ya Pondeani katika shuguli ya ugawaji wa Nguo na Vifaa mbali mbali kwa Familia zilizo na Maisha Magumu

Mwenyekiti wa OPSS akiwa na Afisa WEMA wilaya ya chake chake wakiwapa Mafunzo Wanafunzi juu ya kusoma kwa malengo
03/03/2021

Mwenyekiti wa OPSS akiwa na Afisa WEMA wilaya ya chake chake wakiwapa Mafunzo Wanafunzi juu ya kusoma kwa malengo

Address

Madungu
Chake Chake

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Organization for Pemba Social Support: OPSS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category