MUONA MBALI "360"

MUONA MBALI "360" TWENDE NA MAMA "360"

24/10/2025
17/05/2025

Mitano tena πŸ–οΈ

Miaka kumi na Tano (15) iliyo pita...
26/02/2025

Miaka kumi na Tano (15) iliyo pita...

4R ya Rais Dkt Samia S. Hassan ambayo Ina misingi  mikuu minne katika uongozi wake:1. Reconciliation (Maridhiano)2. Resi...
21/02/2025

4R ya Rais Dkt Samia S. Hassan ambayo Ina misingi mikuu minne katika uongozi wake:
1. Reconciliation (Maridhiano)
2. Resilience (Ustahimilivu wenye unyumbulifu)
3. Reform (Mageuzi)
4. Rebuilding (Ujenzi mpya wa Democrasia

Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa Waziri Mkuu wa 57...
25/10/2022

Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa Waziri Mkuu wa 57 wa Uingereza, natarajia kuinua uhusiano wetu baina ya nchi hizo mbili kwa kiwango cha juu zaidi. Karibu Tanzania.
"Kazi IENDELEE" πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali kat...
22/10/2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF) kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022.

"Kazi IENDELEE" πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia maji mara baada ya kuzindua skimu ya maji y...
17/10/2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia maji mara baada ya kuzindua skimu ya maji ya Kakonko-Kiziguzigu katika hafla iliyofanyika Mlima Kanyamfisi Kakonko, mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.

"Kazi IENDELEE"πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ

"kazi IENDELEE" πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
14/10/2022

"kazi IENDELEE" πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MUONA MBALI "360" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share