UVCCM Mwananyamala

UVCCM Mwananyamala Ward Political Events

Tunapenda kutoa pole kwa Katibu wetu Ndg. Elizabeth Makata kwa kuondokewa na Bibi yake mpendwa, tunapenda pia kuwashukur...
21/12/2020

Tunapenda kutoa pole kwa Katibu wetu Ndg. Elizabeth Makata kwa kuondokewa na Bibi yake mpendwa, tunapenda pia kuwashukuru viongozi wa chama cha Mapinduzi kata ya Mwananyamala kwa moyo wao wa upendo na kujitoa kwa kumpa faraja mwenzetu kipindi chote cha msiba huu. Ahsante.

Viongozi wanaotoa heshima za mwisho pichani;
Diwani/Mstahiki Meya Mhe. Songoro MNYONGE,
M,kiti CCM kata Bi. Pili MGUNDA,
Katibu CCM kata Ndg. Stanley MVUNGI,
M,kiti UVCCM Ndg. Ramadhan MAULID.

🙏🏿

Anaitwa SONGORO HAMIS MNYONGEBaba anayetosha kuwa baba K**a vipengere vingine vitabaki sawa (If other factors remain Con...
20/11/2020

Anaitwa SONGORO HAMIS MNYONGE
Baba anayetosha kuwa baba K**a vipengere vingine vitabaki sawa
(If other factors remain Constant)
Kwani tunaamini katika matokeo Chanya ya kiuhakika kabbisa juu ya kazi itakayosimamiwa na yule anayestahili.

Diwani wa Kata Ya Mwananyamala.

Mungu akusimamie katika hili kwani hatuna mashaka na Utumishi wako na hatuna mashaka pia hata juu ya Dhamira yako kwa watu kupitia hili pia. 🤗🤗

Heshimu mamlaka✍🏿Jeshi la polisi Tanzania kupitia kamanda wa polisi Mkoa wa Dar es salaam SACP Lazaro MAMBOSASA lazuia m...
01/11/2020

Heshimu mamlaka✍🏿

Jeshi la polisi Tanzania kupitia kamanda wa polisi Mkoa wa Dar es salaam SACP Lazaro MAMBOSASA lazuia maandamano yaliyopangwa na baadhi ya viongozi wa upinzani walioshindwa kwenye uchanguzi ulioisha hivi karibuni.

🙌🏿
@ Mwananyamala, Dar es Salaam

MWANANYAMALA + MAKUMBUSHO
01/11/2020

MWANANYAMALA + MAKUMBUSHO

27/10/2020

Leo Oktoba 27, 2020 Mgombea udiwani kata ya Mwananyamala Mhe. Songoro MNYONGE akiwa kwenye mkutano wa kufunga kampeni wa Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni Mhe. Abbas TARIMBA viwanja vya CCM Mwinyijuma, Mwananyamala















Oktoba 27, 2020Mkutano wa kufunga kampeni wa Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni viwanja wa Mwinyijuma, Mwananyamala. ✅ ✅ ...
27/10/2020

Oktoba 27, 2020
Mkutano wa kufunga kampeni wa Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni viwanja wa Mwinyijuma, Mwananyamala.






✅ @ Mwananyamala, Dar es Salaam

26/10/2020

Mwenyekiti wa wazazi CCM kata ya Mwananyamala akizungumzia maendeleo kata ya Mwananyamala chini ya diwani Mhe. SONGORO MNYONGE

20/10/2020

Kimfaacho Mtu Chake Jamani
Songoro wetu Hatutaki watu

Unatutosha Kaka, hatuna kiu ya Maendeleo tu bali Tuna kiu ya maendeleo ya kweli.





2020,We acha tu
😆😆😆😆😆

Chuma Cha Mwananyamala kimezaliwa leo.Happy Birthday to you Comrade Songoro Hamisi Mnyonge
20/10/2020

Chuma Cha Mwananyamala kimezaliwa leo.

Happy Birthday to you Comrade
Songoro Hamisi Mnyonge

19/10/2020

Chipukizi wa kata ya Mwananyamala wakiwakemea wapinzani kwa mtindo wa aina yake....hakika CCM ni chama lao✊🏿

Urais ni MAGUFULI ✅UBUNGE Kinondoni Abbas TARIMBA✅Udiwani Mwananyamala Songoro MNYONGE ✅ @ Mwananyamala, Dar es Salaam
19/10/2020

Urais ni MAGUFULI ✅
UBUNGE Kinondoni Abbas TARIMBA✅
Udiwani Mwananyamala Songoro MNYONGE ✅ @ Mwananyamala, Dar es Salaam

SONGORO HAMIS MNYONGE                       naTARIMBA ABBAS TARIMBAKata Ya MwananyamalaMtaa wa Msisiri ATupatieni RIDHAA...
19/10/2020

SONGORO HAMIS MNYONGE
na
TARIMBA ABBAS TARIMBA

Kata Ya Mwananyamala
Mtaa wa Msisiri A

Tupatieni RIDHAA tukawalipe UTUMISHI uliotukuka.

Chagua CCM
Kazi Iendelee

Address

Mwananyamala Kopa
Dar Es Salaam

Telephone

+255687632967

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Mwananyamala posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share