10/10/2024
*RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI - DODOMA*
📸 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Oktoba, 2024.
💪🇹🇿