09/09/2021
Mwanahawa Mashombo ni mwanajeshi Kwa mujibu wa Sheria.
Amehitimu kidato cha sita na kufaulu vizuri masomo ya sayansi na ana ndoto za kuwa daktari bingwa.
Familia yake ni duni na ni kijana pekee kwao ambaye amesoma mpaka hatua hio Kwa pesa za kudunduliza kutoka Kwa ndugu na jamaa.
Yupo kambi ya maktopora dodoma, muda wa kuomba mkopo umekaribia kwisha, Hana ndugu wala msaada.
Kichwa kinamuuma kwamba hio ndio mwisho wa Safari ya ndoto zake. Anajaribu kwenda stationary lakni anachoambulia ni kupigwa tarehe kwenda na kurudi bila mafanikio.
Kila anaemuuliza katika marafiki wenzake nae anasema abasaidiwa na hajui itakuwaje, kichwa kinavurugika na anataka kukata tamaa.
Akapata tangazo letu mtandaoni, tukamshika mkono hatua Kwa hatua, mpaka tukaikabidhi fomu yake.
Waaaww! Kwa kozi yake alipata mkopo Kwa asilimia zote (yaani priority faculty)
Majibu yametoka Kati ya wanafunzi wote walioomba mkopo, zaidi ya wanafunzi 12,000 walikosea kuomba mikopo Yao na wanatakiwa watoke huko vijijini wende Dar es salaam wakakamilishe taratibu zao Kwa gharama zao.
Kwa Sasa mwanahawa Mashombo amemaliza masomo yake bila kuwasumbua wazazi wake hela ya Ada na ni muajiriwa anaisaidia familia yake.
Je, na wewe unataka tukushike mkono uweze kuomba mkopo, kuomba chuo, au kufanya usajili mtandaoni Kwa njia rahisi?
K**a ndio tuandikie ujumbe WhatsApp # 0655415322 Sasa hivi andika "NATAKA" utapokea maelekezo vizuri.
Fanya hivyo leo upate OFFA ya 40%
NB: Tunahitaji watu wachache walio na utayari tu! hatuwezi kusaidia watu wote.