Shakira china china

Shakira china china Karibu Tuna Agiza Na Kuuza Bidhaa Kwa Bei Nafuu Kutoka CHINA,DUBAI NA UTURUKI Kujiunga 👇👇0782061593

17/04/2026

Nani inamrambaaaa 🤣🤣🤣🤣

14/04/2026

✔️Tumefungua Oda mpya Ya nywele

✔️Nywele zetu ni Human Hair Ndugu zangu

✔️Nywele Huchukua Siku 5 mpk 7 kufika Tanzania baada ya kufunga oda

📍Tandika Sokoni Dsm

0782061593

11/04/2026

👍Hii Ni Kinky Curly Imejaa Mno

👍250% Imejaa Vizuri Ipo Dukani

👍Narudia Ipo Dukani Tandika

👍Bei 250,000 Tu

📍

05/04/2026

✔️Tunapatikana Tandika Sokoni Dsm

✔️Mizigo ya meli miezi 2 mpaka 3

✔️Mizigo ya ndege Siku 5 mpaka 7

📞 0782061593

18/03/2026

Good hair day inaanza na dryer nzuri! 😉💨
Kausha nywele haraka bila kuharibu ubora wake.
Motor yenye nguvu, joto linalodhibitika, na muonekano wa kisasa.

✅ Inafaa kwa nywele zote
✅ Matumizi ya nyumbani & saluni
✅ Rahisi kutumia na kudumu

🚚 Tunafanya delivery popote ulipo
🔥 Nywele nzuri ni confidence yako!

Bei 25,000/= Tu

22/12/2025

📌Pakiti 1 (Bando 1) = Urefu ni inchi 16

📌Nimeona Nigawe kwa 80,000 tu

📌Narudia Tena Inch 16 Na Ni Human Hair Siuzi Laki Mimi Mtoto Wa Watu Nauza Elfu 80 pekee

Hizi zishafika Zipo Tanzania

📌Whatsapp 0782061593

22/12/2025

📌Huyu ni Taperi Ndugu zangu Kuweni makini

📌Namba yake ya cm +255 680 297 919

Kila taperi atavuna utaperi wake yupo hapa kwenye page yangu

📌Hawa ni wa k**e na wakiume

01/12/2025

Oda mpya hii karibu kwenye group zetu

Tupo tandika sokoni dsm karibia na hospital ya arafa

Nywele zetu tunatoa kiwandani Ndugu zangu

0782061593

Address

Tandika Sokoni
Dar Es Salaam
1100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shakira china china posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Shakira china china:

Share