kiwanja bei ya jion

kiwanja bei ya jion Tunauza viwanja vilivyopimwa kwa bei nafuu na mpango rafiki wa malipo.Utapewa hati baada ya malipo.

21/07/2023
Ijumaa tarehe 7/7/2023 itakua ni public holiday hivo sisi k**a fursa credit services tumewaandalia tour kutembelea mirad...
05/07/2023

Ijumaa tarehe 7/7/2023 itakua ni public holiday hivo sisi k**a fursa credit services tumewaandalia tour kutembelea miradi yetu iliyopo Kigamboni bure🔥🔥
Makutano
Makumbusho bus stand saa 2 asubuhi
Ferry kigamboni saa3 asbuhi

Usipitwe na hiii njoo ujumuike nasi kuona miradi🥳🥳🥳

Njoo inbox kuhakiki uwepo wako siti zimebaki chache 👏🏾👏🏾

KIGAMBONI MWASONGA 💥💥sasa kwa mtonyo wa buku tano tu kwa sqm moja unapata kiwanja kigamboni Mwasonga...Viwanja vimepimwa...
03/07/2023

KIGAMBONI MWASONGA 💥💥
sasa kwa mtonyo wa buku tano tu kwa sqm moja unapata kiwanja kigamboni Mwasonga...
Viwanja vimepimwa hati baada ya malipo
Huduma za kijamii zipo
Eneo mkeka✅

30/06/2023
✅
21/06/2023

UJANJA KUWAHI UJANJA KUMILIKI ARDHI 💥💥kumbuka unaweza lipia kiwanja chako kwa mkupuo ama kwa awamu hadi miezi 18 ukianza...
12/06/2023

UJANJA KUWAHI UJANJA KUMILIKI ARDHI 💥💥
kumbuka unaweza lipia kiwanja chako kwa mkupuo ama kwa awamu hadi miezi 18 ukianza na kianzio cha asilimia 20% tuu..

Tunayo furaha kuwa moja kati ya mabalozi wa kuhamasisha Maendeleo katika jamii na kupinga ukatili wa kijinsia na mmomony...
24/04/2023

Tunayo furaha kuwa moja kati ya mabalozi wa kuhamasisha Maendeleo katika jamii na kupinga ukatili wa kijinsia na mmomonyoko wa maadili.. Zoezi linalofanywa na kusimamiwa na wizara ya Maendeleo ya jamii,jinsia,watoto na makundi maalum chini ya Mh. Waziri DKT Doroth Gwajima

TANZANIA DEVELOPMENT FESTIVAL umaskini ni chanzo cha ukatilii njoo tujikwamue kiuchumii.
24/04/2023

TANZANIA DEVELOPMENT FESTIVAL

umaskini ni chanzo cha ukatilii njoo tujikwamue kiuchumii.

13/04/2023

HIGHLIGHTS OF KIMBIJI OCEAN VIEW PLOTS

Address

6th Floor, Delta House, Dunga Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255717545351

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kiwanja bei ya jion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to kiwanja bei ya jion:

Share