Bakwata mkoa wa Dar es salaam

Bakwata mkoa wa Dar es salaam Bakwata ni baraza kuu la waislam Tanzania. ukurasa huu kwa ajili kupata habari mbali bali kuhusu bakwata mkoa mkoa wa dar es salaam

Jeshi la mtu mmoja .
06/09/2026

Jeshi la mtu mmoja .

Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh abbas Ramadhan  na sheikh wa kata ya chamazi Sheikh Ismail Muhammad tayari wamesh...
04/09/2026

Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh abbas Ramadhan na sheikh wa kata ya chamazi Sheikh Ismail Muhammad tayari wameshafika hapa airport wakimsubiria Muft wa Tanzania Sheikh Abuubakar Zubeir bin Ali akitokea Cairo katika mkutano wa mamuft . 4/9/2026

Assalaam Alaikum Warahmatu LLAH Wabaratu Ndugu zetu waislam huu msikiti unaitwa Masjid Bayaan. Msikiti huu upo Chanika m...
04/09/2026

Assalaam Alaikum Warahmatu LLAH Wabaratu

Ndugu zetu waislam huu msikiti unaitwa Masjid Bayaan. Msikiti huu upo Chanika mkabala na Kwa makamo wa Raisi mstaaf Philipo Mpango. Msikiti huu mpaka hapo ulipo una changamoto ya maji kwa ajili ya kufanya ibada. Kisima tayari kishachimbwa wanaomba msada wa kusaidiwa pampu, mpira na tank tu.

Ufafanuzi wake ni k**a ifuatavyo .

Pampu 300,000 hadi 350,000/=
Tank la maji lita 2000 au 3000 ni 450,000/=
Nomba na mpirabwa maji 150,000/=
Fundi kujenga ni 50,000/=

Mawasiliano ya imamu
Imam Juma Mohammed
0788 990 902 / 0655 990 902.

Wekeza kwa allah

03/09/2026
Leo usiku .Swallu Allan Nnabiy
02/09/2026

Leo usiku .

Swallu Allan Nnabiy

Madrasat Narju Sabiyla Islamic " temeke mikoroshini Dare es salaam  mtaa wa  sandali  mambo Leo ((A)) inawaalika waislam...
02/09/2026

Madrasat Narju Sabiyla Islamic " temeke mikoroshini Dare es salaam mtaa wa sandali mambo Leo ((A)) inawaalika waislam wote katika maulid ya mtume Muhammad Swalla LLAHU Wassalam 18/9/2026.

Zafa ya kitaifa
02/09/2026

Zafa ya kitaifa

Sheikh wa kata ya kwa mnyamani Sheikh Said khatib anawaalika katika maulid 12/ 9/2026 saa 2 usiku  ndani ya viwanja vya ...
01/09/2026

Sheikh wa kata ya kwa mnyamani Sheikh Said khatib anawaalika katika maulid 12/ 9/2026 saa 2 usiku ndani ya viwanja vya Masjid kheri vingunguti kidarajani.

Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania  SHEIKH ABUBAKAR ZUBER MBWANA jioni ya Leo amesafiri Nje ya Nchi kwa ziara m...
31/08/2026

Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania SHEIKH ABUBAKAR ZUBER MBWANA jioni ya Leo amesafiri Nje ya Nchi kwa ziara maalum ya kikazi.
Pichani akiwa na baadhi ya masheikh ambao walipata fursa ya kumsindikiza na kumuaga ambao ni Kaimu sheikh wa mkoa wa DSM Shk Abbas Ramadhani Abbas,
Sheikh Muharami Mziwanda(jeshi la mtu mmoja)
Sheikh Adam Mwinyipingu sheikh wa wilaya ya Ilala na Sheikh Zailai Hassan Mkoyogore sheikh wa wilaya ya Temeke.

Sheikh Abbas Ramadhan Abbas kaimu sheikh wa mkoa wa Dar es salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani akizungumza katika ms...
31/08/2026

Sheikh Abbas Ramadhan Abbas kaimu sheikh wa mkoa wa Dar es salaam na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani akizungumza katika msiba wa mama mkubwa wa Sheikh Alhad M***a Salum Mwenyekiti wa JMAT TAIFA.
MBAGARA DSM leo jumatatu tar 31/8/2026.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bakwata mkoa wa Dar es salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Bakwata mkoa wa Dar es salaam:

Shortcuts

Share