Tukuombee Nini

Tukuombee Nini (Mathayo 7: 7)
Ombeni� nanyi mtapewa�

ISAYA 42: 22MAOMBI YA KUREJESHA KILA KILICHO POTEA KWENYE MAISHA YAKO💥 👉BIASHARA ILIYO POTEZA WATEJA💥) (NDOA❣ILIYO POTEZ...
14/12/2022

ISAYA 42: 22
MAOMBI YA KUREJESHA KILA KILICHO POTEA KWENYE MAISHA YAKO💥 👉BIASHARA ILIYO POTEZA WATEJA💥) (NDOA❣ILIYO POTEZA UPENDO💓) (MAHUSIANO YALIYO POTEZA MALENGO🤝) (KUINULIWA KIUCHUMI💸) (KAZI ILIYO POTEA🤦‍♀️) (TUMBO LISILOWEZA KUBEBA MTOTO) Yote yatarejeshwa kwa jina la Yesu🙏

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

YAWEZEKANA KUNA MAZINGIRA UNAPITIA💘😢, YAWEEKANA KUNA HALI UNAPITIA, KIASI KWAMBA UNATAMANI KUJIUA😭 UTOWEKE DUNIANI🛌 NAOM...
26/11/2022

YAWEZEKANA KUNA MAZINGIRA UNAPITIA💘😢, YAWEEKANA KUNA HALI UNAPITIA, KIASI KWAMBA UNATAMANI KUJIUA😭 UTOWEKE DUNIANI🛌
NAOMBA NIKWAMBIE KUNA MUNGU ASIYESHINDWA NA JAMBO LOLOTE YUKO PAMOJA NAWEWE NA ATAKUSHINDIA YOTE💯

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

MAOMBI MAALUM YA KUKU KUTANISHA NA MTU/WATU, SAHIHI KWENYE MAISHA YAKO ILI UFIKIE HATIMA YAKO.👉MUME SAHIHI👉MKE SAHIHI👉MA...
26/11/2022

MAOMBI MAALUM YA KUKU KUTANISHA NA MTU/WATU, SAHIHI KWENYE MAISHA YAKO ILI UFIKIE HATIMA YAKO.👉MUME SAHIHI👉MKE SAHIHI👉MARAFIKI SAHIHI👉MCHUMBA SAHIHI👉BIASHARA SAHIHI👉FAMILIA SAHIHI👉KAZI SAHIHI💥.
Na akuondolee watu wasiofaa wote kwenye maisha yako kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏🙏

Tuandikie inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

Address

Ubungo Sheklango
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tukuombee Nini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category