23/08/2026
MIAKA 30 YA RADIO MARIA TANZANIA
Skauti Katoliki katika picha ya Pamoja na Mkurugenzi wa Matangazo ya Kituo cha Tadioa Maria Tanzania Padre Dominic Mavura Baada ya Utume wao kwenye Miaka 30 ya Radio Maria Tanzania. iliyofanyika Makao Makuu ya Radio hiyo Mikocheni Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Jumamosi ya August 15 2026.