Bakitatz

Bakitatz Baraza la Kiswahili la Taifa ni taasisi ya Umma ambayo inasimamia shughuli za ukuzaji wa Kiswahili

Je, wajua neno hili la Kiingereza lina Kiswahili chake sanifu?
29/08/2026

Je, wajua neno hili la Kiingereza lina Kiswahili chake sanifu?

Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) akiwa  na Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKI...
29/08/2026

Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) akiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) BARAZA LA KISWAHILI LA ZANZIBAR wakati wa kilele na ufungaji wa Tamasha la Nne la Kitaifa la Utamaduni lililofanyika Mkoani Morogoro leo tarehe 29 Agosti 2026.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Boniface Kadili, ametembe...
29/08/2026

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Boniface Kadili, ametembelea banda la Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) wakati wa kilele na ufungaji wa Tamasha la Nne la Kitaifa la Utamaduni, lililofanyika Mkoani Morogoro tarehe 29 Agosti 2026.

Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akigawa tuzo pam...
29/08/2026

Katibu mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akigawa tuzo pamoja na vyeti kwa Mikoa iliyofanya vizuri katika mashindano ya ngoma na vyakula vya asili

Zawadi hizo zimetolewa tarehe 29 Agosti wakati akihitimisha Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni Mkoani Morogoro.

29/08/2026

Address

S. L. P 4766, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
14107

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Telephone

+255222762243

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bakitatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Bakitatz:

Shortcuts

Share