Al-Madrasat An-Nujuum

Al-Madrasat An-Nujuum Al-Madrasat An-Nujuum Tahfiidhul Qur'aan Kareem, Mwembe Mnofu, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. 1. MASHARTI
i. Awe Muislam
ii. iv. v. i. ii. MASOMO
i. Qur’an ii. Fiqh v.

Awe ametimiza umri wa miaka minne (4)
iii. Muda wa kuingia madrasa ni kuanzia saa 01:00 Asubuhi hadi saa 01:30 Asubuhi, Kwa mchana ni saa 08:00 mpaka saa 09:00 Alasiri. Zaidi ya hapo mwanafunzi atakua amechelewa. Muda wa kutoka Madrasa ni saa 05:00 Asubuhi kwa Asubuhi, na saa 12:00 jioni. Mwanafunzi anatakiwa kufika Madrasa wakati wowte atakapohitajika. Iwapo mtoto hatafika Madrasa na hakuna taar

ifa ya Mzazi / Mlezi kwa Mwalimu, basi atakapofika kwanza ni adhabu kisha ndo ataulizwa sababu. Mwanafunzi anatakiwa aje Madrasa akiwa msafi wa Kiwiliwili, meno, nywele, kucha, nguo n.k. Ni marufuku Mwanafunzi yoyote kuvaa pambo la aina yeyote kama vile (piko, hina, hereni, saa, mkufu, kuunganisha nywele, n.k)
ii. Pia ni marufuku kwa mwanafunzi yeyote kukata mikato ya nywele isiyoendana na maadili ya dini yetu
i. Wavulana ni Kanzu na Kofia
ii. Wasichana ni Baibui jeusi na Juba jeusi
iii. Sare zipatikane ndani ya mwezi mmpja zaidi ya hapo mtoto atarudishwa nyumbani
i. Wazazi /Walezi wanatakiwa kushirikiana na Waalimu katika kuleta maendeleo ya Madrasa. Muislam yeyote anakaribishwa kuleta sadaka yake. Madrasa hii tunapumzika mara moja kwa mwaka na wanafunzi wote wanatakiwa kuwepo siku ya kufunga na kufungua Madrasa, na iwapo mtoto wako hatakuepo siku hizo basi atapata adhabu. Madrasa hii ni ya kiislamu, ieleweke kwamba maadili ya madrasa hii ni ya kiislam hivyo basi mwanafunzi anatakiwa kuhudhuria vipindi vya swala muda wote akiwa ndani na nje ya madrasa. Pia endapo mwanafunzi atahama madrasa kwasabu za msingi basi Mzazi / Mlezi unatakiwa umtolee ubani (kifuta jasho) ili apate radhi za waalimu

2. Sira iii. Hadithi iv. Tajweed vi. Tawheed n.k

🧠✌️👆
15/02/2023

🧠✌️👆

HII SI YA KUKOSA
26/12/2022

HII SI YA KUKOSA

IMEBAKI SIKU MOJA KUELEKEA MASHINDANO YA KUSOMA NA KUHIFADHI QUR'AAN TUKUFU (TEMEKE, WAILES - DSM)SIKU YA JUMAPILI  TARE...
16/12/2022

IMEBAKI SIKU MOJA KUELEKEA MASHINDANO YA KUSOMA NA KUHIFADHI QUR'AAN TUKUFU (TEMEKE, WAILES - DSM)

SIKU YA JUMAPILI TAREHE: 18/12/2022 KUANZIA SAA 1:00 ASUBUHI, MTAA WA NGARAMBE, WAILES
NYOTE MNAKARIBISHWA

Njoo ujionee Vipaji vya Watoto wa Kiislam Jumapili Tarehe 18/12/2022, Mtaa wa Ngarambe Wailesi - Dar es Salaam
09/12/2022

Njoo ujionee Vipaji vya Watoto wa Kiislam Jumapili Tarehe 18/12/2022, Mtaa wa Ngarambe Wailesi - Dar es Salaam

24/10/2022
Jumane hii 27.09.2022
24/09/2022

Jumane hii 27.09.2022

ZANZIBAR KAZI KWENU
01/09/2022

ZANZIBAR KAZI KWENU

Address

S. L. P 75948
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al-Madrasat An-Nujuum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Al-Madrasat An-Nujuum:

Share

Category