Uvccm Kata Mzimuni

Uvccm Kata Mzimuni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uvccm Kata Mzimuni, Political organisation, Magomeni, Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Ndg. Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, jana tarehe 04/06/21 ame...
05/06/2021

Katibu Mkuu Ndg. Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, jana tarehe 04/06/21 amefanya kikao cha utambulisho na watumishi wa CCM Makao Makuu, ametilia mkazo kuendelea kusimamia Katiba, Kanuni, Taratibu, na Utamaduni wa Chama ili kuongeza ufanisi na uwajibikaji ndani ya Chama. .

Magomeni, Dar Es Salaam, Tanzania
21/02/2021

Magomeni, Dar Es Salaam, Tanzania

21/02/2021

Video na .

Diwani wetu wa Kata ya Mzimuni Mhe. MANFRED CHRISPINE LYOTO ametoa Matofali kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule zilizopo ndani ya Kata yetu.

UVCCM Wilaya ya Kinondoni imeandaa Mkutano Mkuu wa UVCCM.
25/01/2021

UVCCM Wilaya ya Kinondoni imeandaa Mkutano Mkuu wa UVCCM.

UZINDUZI WA BIMA YA AFYA KWA WAZEE WA MZIMUNI Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. MANFRED CHRISPINE LYOTO leo tarehe 24-01-20...
25/01/2021

UZINDUZI WA BIMA YA AFYA KWA WAZEE WA MZIMUNI

Diwani wa Kata ya Mzimuni Mhe. MANFRED CHRISPINE LYOTO leo tarehe 24-01-2021 amezindua na amewapatia bure kadi za Bima ya Afya wazee Ishirini [20] kutoka mitaa minne [4] ya Kata ya Mzimuni ambapo kila Mtaa walipatiwa wazee watano [5] kadi hizo.

Uzinduzi huo umehudhuriwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi [CCM ] Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Wilaya ya Kinondoni ndg. Bi. Joha Dolle, Mwenyekiti wa Kata ndg. Hassan Yahaya, Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM [UVCMM ] ndg. Hemed Salimu (); Wenyeviti wa mitaa wote na wajumbe wao wa kamati za mitaa; Wasaidizi wake Diwani na baadhi ya wazee wa Kata.

Zoezi la kuwapatia wazee kadi za Bima ya Afya litakuwa endelevu na ni kwa gharama zake binafsi mwenyewe Diwani. @ Magomeni Mikumi Lango La Jiji

 . Kongole Cde.
29/11/2020

. Kongole Cde.

TAARIFA KWA UMMARatiba ya Mikutano ya Kampeni kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama c...
11/10/2020

TAARIFA KWA UMMA
Ratiba ya Mikutano ya Kampeni kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Jijini Dar es salaam.



@ Magomeni, Dar Es Salaam, Tanzania

Picha ikimuonyesha mgombea udiwani wa viti maalum Kata ya Mzimuni Ndg. AZIZA MOHAMMED hapo jana akiwa  katika mstari wa ...
10/10/2020

Picha ikimuonyesha mgombea udiwani wa viti maalum Kata ya Mzimuni Ndg. AZIZA MOHAMMED hapo jana akiwa katika mstari wa wagombea udiwani wote wakila kiapo mbele ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Joseph Pombe MAGUFULI kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa [Uwanja wa Taifa].

10/10/2020

KATIKA MKUTANO WA KAMPENI DSM KWA MKAPA.

Mgombea udiwani wa Viti maalum Kata ya Mzimuni ndg. AZIZA MOHAMMED ALIKUWEPO.

10/10/2020

KATIKA MKUTANO WA KAMPENI DSM KWA MKAPA.

Diwani wa Viti maalum Kata ya Mzimuni ndg. AZIZA MOHAMMED ALIKUWEPO.

08/10/2020

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Telephone

+255659747931

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uvccm Kata Mzimuni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Uvccm Kata Mzimuni:

Share