Latra ccc

Latra ccc Waweza kusoma sheria zaidi kwenye website yetu ambayo ni www.latraccc.go.tz

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA Consumer Consultative Council), lipo kwa mujibu wa Kifungu Namba 29 cha Sheria namba 3 ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini, (LATRA) ya Mwaka 2019. Sheria hiyo inatoa wajibu kwa Baraza kwa:
(i) Kuwakilisha maslahi ya watumiaji wa huduma za usafiri Ardhini, kwa kuwasilisha, kupata maoni na taarifa na kwa kushauriana na Mamlaka, Wa

ziri mwenye dhamana na wadau wa sekta mbalimbali zinazodhibitiwa;
(ii) Kupokea na kusambaza taarifa na maoni mbalimbali kuhusu masuala yanayowagusa watumiaji wa huduma zinazosimamiwa na LATRA;
(iii) Kuunda kamati za Watumiaji wa huduma za usafiri wa Sekta zinazodhibitiwa na LATRA katika Mikoa na Kushauriana nazo;
(iv) Kushauriana na wadau , Serikali na makundi ya watumiaji kuhusu huduma;
(v) Kufanya utafiti juu ya maslahi, haki, wajibu na masuala mengine yanayogusa watumiaji.

SALAMU ZA PONGEZI.
03/09/2023

SALAMU ZA PONGEZI.

Mwenyekiti wa LATRA CCC Dkt George Makuke akiwa kwenye picha ya pamoja na Sekretarieti ya Baraza.Dkt Makuke ameungana na...
09/07/2023

Mwenyekiti wa LATRA CCC Dkt George Makuke akiwa kwenye picha ya pamoja na Sekretarieti ya Baraza.

Dkt Makuke ameungana na Sekretarieti kwenye kutoa elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini.

LATRA CCC wanapatikana Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44,kwenye Maonesho ya Sabasaba.

Dkt.George Makuke Mwenyekiti wa LATRA CCC,aliungana na Sekretarieti ya Baraza katika kutoa elimu juu ya haki na wajibu w...
09/07/2023

Dkt.George Makuke Mwenyekiti wa LATRA CCC,aliungana na Sekretarieti ya Baraza katika kutoa elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kwenye maonesho ya Sabasaba.
Tunapatikana Banda la Jakaya Kikwete Chumba namba 44.KARIBU TUKUHUDUMIE.

Elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kuendelea kutolewa.Leo tumetembelewa na Mkurugenzi ...
08/07/2023

Elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kuendelea kutolewa.
Leo tumetembelewa na Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof. Said Aboud, amepatiwa elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini.
Karibu Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.

Heri ya Sikukuu ya Sabasaba.Karibu kwenye banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.
07/07/2023

Heri ya Sikukuu ya Sabasaba.Karibu kwenye banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.

Elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kuendelea kutolewa kwenye maonesho ya Sabasaba.Kari...
06/07/2023

Elimu juu ya haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma za usafiri ardhini kuendelea kutolewa kwenye maonesho ya Sabasaba.Karibu Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.TUKUHUDUMIE.

Elimu juu ya haki na wajibu kuendelea kutolewa kwenye maonesho ya Sabasaba ndani ya Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba...
06/07/2023

Elimu juu ya haki na wajibu kuendelea kutolewa kwenye maonesho ya Sabasaba ndani ya Banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44,Baraza limepata wageni wa usafirishaji kutoka Afrika Kusini.

Karibu banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.Maonesho ya Sabasaba,tukuhudumie.
06/07/2023

Karibu banda la Jakaya Kikwete Chumba Namba 44.Maonesho ya Sabasaba,tukuhudumie.

Address

Dar Es Salaam
VICTORIAHOUSE,BAGAMOYOROAD,9THFLOOR,ROOMNO:25

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Latra ccc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Latra ccc:

Share