Chuo cha Ustawi wa Jamii

Chuo cha Ustawi wa Jamii Ukurasa Rasmi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (Institute of Social Work) Kijitonyama, Dar es Salaam.

29/08/2026

๐ŸŽ“ Shape the Future of Workforce Management with ISW ,      Organizations thrive on excellent human capital. At the Insti...
27/08/2026

๐ŸŽ“ Shape the Future of Workforce Management with ISW ,
Organizations thrive on excellent human capital.

At the Institute of Social Work (ISW), we pride ourselves on equipping students with the strategic skills needed to become Tanzania's leading Human Resource officers.

We are pleased to invite applications for our Certificate and Diploma in Human Resource Management for the 2026/2027 admission cycle at the Dar es Salaam Campus.

Invest in a qualification that employers trust.

Begin your application today via the ISW Application portal: oas.isw.ac.tz.




24/08/2026
22/08/2026


MMEUPIGA MWINGI WAHITIMU WETU CLASS OF 2026  inawapongeza wanafunzi wetu wa Kozi zote kwa Kutumia muda wao vizuri kuhudh...
11/08/2026

MMEUPIGA MWINGI WAHITIMU WETU CLASS OF 2026

inawapongeza wanafunzi wetu wa Kozi zote kwa Kutumia muda wao vizuri kuhudhuria vipindi, Kufanya test, mitihani, mafunzo kwa vitendo (Field) na sasa kila mmoja wenu kumaliza mitihani yake ya mwisho ya mwaka wa masomo 2025/2026.

Hongereni kwa uvumilivu ,Bidii na Kutokatatamaa Kupapambania Elimu yenu na ndoto zenu, We salute you for your dedication.

Mmetupa heshima kubwa kwa kuchagua chuo bora. .

Mkawe Mabalozi Wema.

Tukutane Katika Sherehe za Mahafali ya 50

.......



ISWAlumni

Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW), Dkt. Joyce Nyoni ameendesha kikao kazi cha wafanyakazi ambacho pamoja na mambo m...
10/08/2026

Mkuu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW), Dkt. Joyce Nyoni ameendesha kikao kazi cha wafanyakazi ambacho pamoja na mambo mengine kililenga kufanya tathmini ya utendaji na mpango mkakati mpya wa miaka sita (6)

Katika kikao hicho, pamoja na mambo mengine, Kitengo cha Mipango kiliwasilisha Mpango Mkakati wa Sita wa Chuo wa Mwaka 2026/2027โ€“2030/2031 na ripoti ya utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2025/26 na mipango yaliyopangwa kwa mwaka 2026/27.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Huduma za Taaluma, Mkuu wa Idara ya Rasimali Watu Taaluma, Dk. Judith Msangi alieleza mafanikio na changamoto za kitaaluma, huku Kitengo cha Rasilimali Watu kikifafanua masuala ya kiutumishi na kuwatambulisha watumishi wapya walioajiriwa na kuhamia .

ASANTENI KWA KUTUTEMBELEA! ๐Ÿ™๐ŸพChuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) tunatoa shukrani za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Dodom...
08/08/2026

ASANTENI KWA KUTUTEMBELEA! ๐Ÿ™๐Ÿพ

Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) tunatoa shukrani za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Dodoma na maeneo ya jirani kwa kujumuika nasi kwenye banda letu.

Tumefarijika sana na muitikio wenu mkubwa mliouonesha kwa kuja kupata elimu, ushauri, na huduma mbalimbali tulizokuwa tunazitoa. Zimekuwa ni siku nane (8) za Kufahamiana, kubadilishana elimu na maarifa lakini pia Kutengeneza mahusiano na kumbukumbu za kudumu.

Shukrani za pekee kabisa ziwaendee wale wote waliofanya maamuzi sahihi kwa kuchagua kujiunga na na kukamilisha usajili na udahili wao hapa hapa bandani. Tunawakaribisha sana kwenye familia ya Chuo cha Ustawi wa Jamii! ๐ŸŽ“๐Ÿ™

Maonesho ya nanenane 2026 yamefungwa rasmi leo tarehe 8 Agosti 2026 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Are you passionate about making a lasting difference in the lives of the next generation? Then, ๐—–๐—ผ๐—บ๐—บ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ช๐—ผ๐—ฟ๐—ธ ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—–๐—ต๐—ถ๐—น...
08/08/2026

Are you passionate about making a lasting difference in the lives of the next generation?

Then, ๐—–๐—ผ๐—บ๐—บ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ช๐—ผ๐—ฟ๐—ธ ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—–๐—ต๐—ถ๐—น๐—ฑ๐—ฟ๐—ฒ๐—ป ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐˜๐—ต ๐—ฝ๐—ฟ๐—ผ๐—ด๐—ฟ๐—ฎ๐—บ is your gateway to becoming a certified catalyst for social change.

This academic program equips you with deep psychological insights, child protection mastery, and innovative youth development strategies.

You will not just study theory; you will engage in practical, hands-on community projects that teach you how to rescue vulnerable children, uplift marginalized youth, and build resilient community support systems.

By enrolling, you transform your empathy into a powerful professional skillset, positioning yourself as a champion for those who need it most.

๐—–๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฒ๐—ฟ ๐—ข๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฒ๐˜€;
Child Protection Officer
Youth Empowerment Specialist
Community Development Officer
Juvenile Justice Counselor
NGO Program Manager
Family Support Coordinator
Policy Advocate for Children's Rights




Address

Institute Of Social Work 210 Shekilango Road P. O. BOX 3375 14113 Kijitonyama Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255677111200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuo cha Ustawi wa Jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Chuo cha Ustawi wa Jamii:

Shortcuts

Share