UVCCM Dar es Salaam

UVCCM Dar es Salaam Akaunti rasmi ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam.

Official Facebook account of Chama Cha Mapinduzi (CCM) Youth League Dar es Salaam Region.

KARIBU NYUMBANI MAMA💥🔰
05/06/2026

KARIBU NYUMBANI MAMA💥🔰

KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM ATEMBELEA VIJANA WA HAMASA TEMEKE 📍Temeke,Dar es salaam📆 09-04-2023I...
12/04/2026

KATIBU WA HAMASA NA CHIPUKIZI MKOA WA DAR ES SALAAM ATEMBELEA VIJANA WA HAMASA TEMEKE

📍Temeke,Dar es salaam
📆 09-04-2023

Ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa uhuru unaotarajiwa kuwasili Dar es Salaam mnamo tarehe 13-04-2026 katibu wa hamasa na chipukizi mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Khassim Ngonyani amewatembelea vijana wa hamasa wa wilaya ya temeke na kushiriki nao mazoezi.

Ziara hiyo imelenga kutazama maandalizi ya hamasa ya Mwenge pamoja na changamoto zinazowakabili vijana wa hamasa.Ambapo katika ziara hiyo aliambatana na mjumbe wa baraza la UVCCM mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Elizabeth Mmonda sambamba na wajumbe wa baraza la UVCCM wa wilaya ya Temeke.

Alipukuwa akizungumza na vijana hao Ndg. Khassim Ngonyani alisema " Mwenyekiti wetu wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Nasra Mohamed amenituma niwape salaam zake za upendo wake juu yenu na kwamba amewasisitiza kutanguliza uzalendo,nidhamu na kutanguliza maslahi ya taifa lenu mbele kabla ya chochote".


UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam inawataarifu wanachama na vijana wote kuwa Katibu wa Hamasa wa Mkoa, Ndugu Khassim Hassan Ng...
07/04/2026

UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam inawataarifu wanachama na vijana wote kuwa Katibu wa Hamasa wa Mkoa, Ndugu Khassim Hassan Ngonyani , atafanya ziara maalum ya kutembelea vijana wa Hamasa katika wilaya mbalimbali za Mkoa wa Dar es Salaam.

Ziara hii ni sehemu ya kuendelea kuimarisha ushiriki wa vijana, mshikamano wa kichama na moyo wa uzalendo katika kulitumikia taifa.🔰

Teknolojia mkononi, Chama moyoni.Tunahakikisha sauti ya vijana na mwangaza wa CCM unafika kila kona ya nchi. Hii ndio di...
30/03/2026

Teknolojia mkononi, Chama moyoni.
Tunahakikisha sauti ya vijana na mwangaza wa CCM unafika kila kona ya nchi. Hii ndio digitali ya ushindi! 🔰😇

*

KATIBU MKUU UVCCM, MWINYI KUFUNGA KAMBI YA UONGOZI Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu ...
29/03/2026

KATIBU MKUU UVCCM, MWINYI KUFUNGA KAMBI YA UONGOZI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Halid Mwinyi (MNEC) atakuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa kambi maalum ya uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Kivukoni tarehe 29 Machi 2026 kuanzia saa 3:00 asubuhi.

21/03/2026
UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAMSAMIA NI SULUHUBilioni 200 zipo Zinapatikana
04/03/2026

UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM

SAMIA NI SULUHU

Bilioni 200 zipo Zinapatikana







Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Hussein Egobano atashiriko katika Kongamano hili.
31/01/2026

Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Hussein Egobano atashiriko katika Kongamano hili.

Mgeni Rasmi ni Ndugu .ussi Mjumbe wa Halmashaur kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la  Malindi atakuwepo katika Kongama...
31/01/2026

Mgeni Rasmi ni Ndugu .ussi Mjumbe wa Halmashaur kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Malindi atakuwepo katika Kongamano hili.

Mwenyekiti wa UVCCM MKOA WA Dar es Salaam atashiriko kwenye Kongamano la Kuadhimisha Miaka 49 ya CCM Wilaya ya Ilala. 🔰 ...
31/01/2026

Mwenyekiti wa UVCCM MKOA WA Dar es Salaam atashiriko kwenye Kongamano la Kuadhimisha Miaka 49 ya CCM Wilaya ya Ilala. 🔰

Address

Lumumba Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255629996633

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UVCCM Dar es Salaam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to UVCCM Dar es Salaam:

Shortcuts

Share