Future Scholars

Future Scholars Future Scholars welcomes you and your child to a wonderful school experience! Your child's education

Shule bora kabisa kwa Mtoto wako.Mlete tumpatie elimu bora kabisa
13/03/2017

Shule bora kabisa kwa Mtoto wako.Mlete tumpatie elimu bora kabisa

Tunakutakia Heri ya Mwaka mpya ewe nduge yetu.Mwaka huu uwe wa kheri na mafanikio tele.
01/01/2017

Tunakutakia Heri ya Mwaka mpya ewe nduge yetu.Mwaka huu uwe wa kheri na mafanikio tele.

Quiz TimeMjaribu mwanao kujibu swali hili kati ya herufi hizi nne A B C D na picha hizi mbili ipi herufi inaendana na Pi...
21/10/2016

Quiz Time
Mjaribu mwanao kujibu swali hili kati ya herufi hizi nne A B C D na picha hizi mbili ipi herufi inaendana na Picha ?

mjaribu mwanao kuona k**a anaweza  kuitambua herufi.Angalia hii picha na mpe mwanao ajaribu kukupa jibu
21/10/2016

mjaribu mwanao kuona k**a anaweza kuitambua herufi.Angalia hii picha na mpe mwanao ajaribu kukupa jibu

Kusoma vitabu kunasaidia sana kuongeza maarifa.Msaidie mwanao kujua faida za kusoma vitabu mara kwa mara.Mzuie kutumia m...
21/10/2016

Kusoma vitabu kunasaidia sana kuongeza maarifa.Msaidie mwanao kujua faida za kusoma vitabu mara kwa mara.Mzuie kutumia mda mwingi kutazama sinema.

Wakati mwingine mfanye mwanao aone umuhimu wa kutafuta solution kwa mambo yanayomuhusu.Hii itamjengea uwezo wa kufikiria...
21/10/2016

Wakati mwingine mfanye mwanao aone umuhimu wa kutafuta solution kwa mambo yanayomuhusu.Hii itamjengea uwezo wa kufikiria majawabu

Mfanye mwanao aone umuhimu wa kushirikiana na marafiki zake katika kujifunza.Hii itamsaidia kuwa na uwezo wa kujigawia m...
21/10/2016

Mfanye mwanao aone umuhimu wa kushirikiana na marafiki zake katika kujifunza.Hii itamsaidia kuwa na uwezo wa kujigawia majukumu

K**a mzazi hakiksha kila mara unamsimulia mtoto wako hadithi yeyote au unamuimbia nyimbo wakati anapolala.Hii inasaidia ...
20/10/2016

K**a mzazi hakiksha kila mara unamsimulia mtoto wako hadithi yeyote au unamuimbia nyimbo wakati anapolala.Hii inasaidia kumpatia mtoto uwezo wa kuwa msikivu.

Jitahidi sana kumwezesha mwanao kulala mapema.Maana anahitaji kupumzika ili ukuaji wake uwe mzuri hasa kwenye ubongo wak...
20/10/2016

Jitahidi sana kumwezesha mwanao kulala mapema.Maana anahitaji kupumzika ili ukuaji wake uwe mzuri hasa kwenye ubongo wake.

Tunajenga Msingi ulio Imara kwa maisha bora ya Mwanao
20/10/2016

Tunajenga Msingi ulio Imara kwa maisha bora ya Mwanao

At  Future Scholars,we encourage children to observe, think and wonder. For years, we have watched little miracles grow....
20/10/2016

At Future Scholars,we encourage children to observe, think and wonder. For years, we have watched little miracles grow. It has always been our endeavor to create for every child, rich and challenging experiences to promote learning and growing.Call+255688144339

Hakuna sababu ya kumwacha mwanao akiwa na huzuni kwa kukosa Faraja yako.Kwetu tunamfanya awe na Tabasamu siku nzima huku...
20/10/2016

Hakuna sababu ya kumwacha mwanao akiwa na huzuni kwa kukosa Faraja yako.Kwetu tunamfanya awe na Tabasamu siku nzima huku akipatiwa maarifa yaliyo sahii katika ukuaji wake

Address

Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Future Scholars posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share