Mfaume Social News

Mfaume Social News MUNGU KWANZA

Forever
14/07/2025

Forever

Nasikia kuna viongozi wamenyoosha mikono na kuanza kuomba TFF iwasamehe na iwape muda wa kujiandaa na Derby. Hii ni baad...
12/06/2025

Nasikia kuna viongozi wamenyoosha mikono na kuanza kuomba TFF iwasamehe na iwape muda wa kujiandaa na Derby.

Hii ni baada ya mkurugenzi wao wa Fedha kukili mbele ya CEO na njia ya simu kwa Rais wao kuwa "Ni kweli TFF hatuidai baada ya kupitia mafaili ya miamala yote"

Rais wao alipomuuliza mtunza kumbukumbu za Fedha wao kwanini alitoa taarifa za uongo kuwa wanaidai TFF? Jibu likawa "kuna kumbukumbu za baadhi ya email Tulizi Archive"

KUSHINDANA NA BABA YAKO INAHITAJI MSULI.

Dar Es salaam is happy, Tanzania is happy, East and Central Africa is happy. This is Simba SC Brother.
27/04/2025

Dar Es salaam is happy, Tanzania is happy, East and Central Africa is happy. This is Simba SC Brother.

To work with Al Ahily is not a joke. See you Marcello Koller
27/04/2025

To work with Al Ahily is not a joke. See you Marcello Koller

01/04/2025

Kaka chunga sana baby wako ujue Ramadhani imeisha, Mashehe wako huru sasahivi. Usije sema sijakuambia ohoo!!

30/03/2025

Si mmesema mnataka ABAYA na sio Vijola. Haya sasa humo ndio dukani kanunueni.

24/03/2025

Ijue tofauti ya Iftal na Futali wewe. Sitaki miariko yenu bhana

09/03/2025
Katika majibizano yote ya Rais wa Marekani na Ukraine, picha hii ndio kitu pekee kimenisikitisha sana. Huyu ni Bi Oksana...
01/03/2025

Katika majibizano yote ya Rais wa Marekani na Ukraine, picha hii ndio kitu pekee kimenisikitisha sana. Huyu ni Bi Oksana Markarova ambae ndie balozi wa Ukraine nchini Marekani na hapa alijiinamia kwa uchungu mkubwa baada ya boss wa (Rais wa Ukraine) kuamriwa anyamaze na aache kuiambia Marekani au kuipangia Marekani nani na ni kipi cha kuhofia.

All the best Diamond
26/02/2025

All the best Diamond

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255678304640

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mfaume Social News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mfaume Social News:

Share

Category