20/04/2024

Habari zenu..!! leo ningependa kutumia ukurasa huu ili kuweza kujumuika nanyi kimawazo, lengo ni kupeana faida katika maisha na kuujaza ubongo vitu chanya.
Leo ningependa kuzungumzia zaidi suala la mitandao ya kijamii katika fursa. Wavumbuzi wa mambo walipotuletea mitandao ya kijamii walikuwa na malengo yao kujitafutia tundu la kutokea kimaisha. Leo tumemuona Bw.Mark Zuckerberg mmiliki wa facebook akimpiku Bw. Elon Musk ambaye pia alikuwa mmiliki wa mtandao wa kijamii uliokuwa ukifahamika k**a Twitter mtandao ambao kwa sasa unafahamika k**a X baada ya kuuzwa.
Swala ni je, wewe mtumiaji wa hii mitandao umeshawahi nufaika nayo k**a alivyonufaikammiliki? Je, umeshawahi kujiuliza ni nini dhima ya hii mitandao? Je, umekuwa mtumiwaji tu na watu waliogundua fursa hii na wameshindwa kukupa mtazamo chanya kwa ubinafsi au nawe pia ni mtumiaji? Maswali ni mengi ya kujiuliza hata wewe binafsi jipe muda wa kutafakari katika hili.
Wengine wanahisi mitandao ya kijamii ipo wa ajili ya watu fulani, wengine wanajua ni kwa ajili ya akina Baba Levo na Mwijaku, wengine wanajua ni kwa ajili ya akina Harmonize na Diamond, kumbe wanajitenga wenyewe katika fursa hii ya mitandao ya kijamii. Hii inatokana ni kwa vile tu hajajua namna sahihi na yeye kula matunda ya huo mtandao anaoutumia.
Sasa mimi kijana wenu leo nitawapatia dhima moja wapo ya mitandao ya kijamii, ni kwamba dhima kuu ni kuunganisha watu. Mfano mimi hapa nikiwa nipo katika jiji la Dar es salaam nimeweza kuwafikishia ujumbe huu watu maeneo tofauti ndani na nje ya Tanzania ndani ya sekunde moja . Facebook imetuweka karibu πŸ‘¨πŸΎβ€πŸ’»πŸ‘©β€πŸ’»πŸ‘¬
Je, unawezaje kutumia fursa hii ya kuunganishwa pamoja na kwa haraka? Jibu ni kwamba fursa ni nyingi sana lakini wengi wao wanaitumia katika njia hasi na hawataki kujifunza katika matumizi chanya😑 Unakuta mtu anahangaika kutafuta pesa ya bando la internet kwa njia ngumu ili aangalie video za ngono katika Facebook, Twitter au aombe link atumiwe ngono WhatsApp au umbea wa mitandaoni. Baada ya hapo analalamika maisha magumu na ameshindwa kuuza maharage yake kwa kuwa kila mtu ana maharage katika eneo linalo mzunguukaπŸ€” lakini amesahau video za ngono hajazipata kwa watu wanao mzunguuka na pia amepata umbea kwa watu hata asiowajuaπŸ˜€πŸ˜€ huu ndio upuuzi tulionao wengi wetu... nikianza kuchanganua hapa kuhusu matumizi hasi tunayotumia sitoweza kumaliza kwa leo, acha tu nanyi mjiongeze wenyewe 🀐🀐
Baada ya kuyaeleza hayo machache ningependa kuwakaribisha katika group langu la WhatsApp najua group langu lingekuwa la ngono mgelipia na pesa kujiunga lakini ni kuhusu maisha ni bure☹☹ jiunge sasa ili uwe mteja wangu nami niwe mteja wako tuifungue dunia🌍🌍 na tuuishi msemo wa dunia ni kijijiπŸ™πŸΎ

Gusa link πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

Take your own πŸ”₯πŸ”₯ 2.1 millions only
11/10/2021

Take your own πŸ”₯πŸ”₯ 2.1 millions only

23/07/2021

Sasa kinachomliza sasa nini?

Mbuge wa zamani, Arusha mjini
03/01/2021

Mbuge wa zamani, Arusha mjini

Amitabh Bachchan - Bollywood star πŸ’₯
02/01/2021

Amitabh Bachchan - Bollywood star πŸ’₯

😭😭
02/01/2021

😭😭

Tajiri kijana Africa πŸ‘πŸ½πŸ‘ŽπŸ½
02/01/2021

Tajiri kijana Africa πŸ‘πŸ½πŸ‘ŽπŸ½

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255784133552

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KESSY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to KESSY:

Share

Category