Maarifa kitaa

Maarifa kitaa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maarifa kitaa, Library, Dar es Salaam.

15/08/2023
Usipokua na uwezo mzuri wa kiuchumi ni ngumu Sana kupata nafasi ya kusoma na kujifunza kwenye shule ama vyuo vya gharama...
12/08/2023

Usipokua na uwezo mzuri wa kiuchumi ni ngumu Sana kupata nafasi ya kusoma na kujifunza kwenye shule ama vyuo vya gharama, lakini jambo hilo ni rahisi sana kupitia maktaba kwani utaweza kusoma na kupata maarifa kwenye vitabu vilevile wanavyosoma matajiri ama watu wenye mafanikio zaidi ulimwenguni. Yani kitabu kile kile anachosoma Elon musk, mark Zuckerberg, Jeff Bezos, Billy gates, Dangote, na wengineo wengi na kisha ukajifunza vya kutosha.

Happy librarians day!
12/08/2023

Happy librarians day!

Tuwafundishe watoto wetu kwamba kuweka lengo lenye uhakika ama kusudi, ikiambatana na mipango dhahiri na ustamilivu kish...
07/08/2023

Tuwafundishe watoto wetu kwamba kuweka lengo lenye uhakika ama kusudi, ikiambatana na mipango dhahiri na ustamilivu kisha kuweka juhudi madhubuti kutimiza lengo ama kusudi hilo ndo aina pekee ya maombi yenye ufanisi zaidi kwa mwanadamu na yana asilimia kubwa kupata majibu chanya.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maarifa kitaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category