Chadema

Chadema Ukurasa huru wa watumiaji wa Facebook wafuasi na wapenzi wa CHADEMA.

29/11/2021

23/08/2016

The U.S. Embassy in Dar es Salaam alerts U.S. citizens that opposition political leaders have called for a nationwide day of protest currently scheduled for September 1, 2016, but may continue for more than one day.

22/06/2016

Picha 10 za Edward Lowassa alipotembelea watoto wanaoishi mazingira magumu Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa alipotembelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazigira magumu.Share this:

22/06/2016

CHADEMA yatangaza kuzuia Mkutano Mkuu CCM Julai 23 Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamelitaka Jeshi la Polisi nchini kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unaotarajiwa kufanyika Julai 23, 2016 mkoani Dodoma. CCM inatarajia kufanya mkutano huo mwezi ujao, ukiwa na l...

15/05/2016

Video: Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Pemba, jana mchana. Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF)Maalim Seif jana alifanya ziara Pemba na kulakiwa na maelfu ya wafuasi wa Chama hicho. Hii hapa chini ni video ikionyesha namna alivyolakiwa. http://swahilitimes.com/wp-content/uploads/2016...

05/05/2016
29/04/2016

Meya wa Kinondoni agawa maeneo ya biashara bure leo asubuhi Ubungo. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob leo Ijumaa April 29 2016 amefanya ziara katika eneo la ubungo na kuongea na wafanyabiashara wanaofanya kazi eneo la pembezoni mwa barabara na pia aliwaonyesha eneo maalum la kufanya bi…

08/07/2013

Taarifa: Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe alifika Ikulu Dar es Salaam wakati wa dhifa kwa Rais Baraka Obama kwa msukumo mkubwa wa Ubalozi wa Marekani nchini na kutambua kazi ambayo CHADEMA inafanya katika kuleta mabadiliko nchini. Katika dhifa hiyo Mh. Mbowe alibadilishana mawazo na maafisa wa Ikulu ya Marekani kuhusu hali ya kisiasa nchini.

Address

Ufipa Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chadema posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Chadema:

Share