27/05/2026
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Manyoni,
Dkt. Pius Stephen Chaya,
Naibu Waziri – Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji)
Kwa heshima na taadhima, Dkt. Pius Stephen Chaya anapenda kuwatakia wananchi wote wa Jimbo la Manyoni na Watanzania kwa ujumla Eid al-Adha Mubarak.
Katika siku hii tukufu ya kiimani, tunakumbushwa thamani ya imani, mshik**ano wa kijamii, na moyo wa kujitolea kwa ajili ya wengine. Ni wakati wa kushirikiana, kusaidiana, na kuimarisha undugu wa kitaifa.
Dkt. Chaya anawaomba wananchi wote kuendeleza mshik**ano, amani, na upendo katika familia na jamii, huku tukitumia sikukuu hii k**a daraja la kuimarisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Eid Mubarak!
Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Manyoni
Dkt. Pius Stephen Chaya
Naibu Waziri – Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji)