22/08/2026
๐๐น๐ฟ PASIPOTI MAALUM, WAJIBU MAALUM
Pasipoti ya Kiutumishi na Kidiplomasia hutolewa kwa kuzingatia sifa, nafasi na wajibu unaotambuliwa kisheria. Si zawadi ya cheo wala kumbukumbu ya kudumu.
๐ Cheo kinaweza kuisha, lakini wajibu wa kuheshimu hati ya Serikali hauishi.
๐ www.immigration.go.tz
๐น๐ฟ UHAMIAJI, USALAMA NA MAENDELEO