Tesha store

Tesha store dianatesha01

Happy birthday Dayana Your are blessing Your are favoured 😍Your a sign and wonder Helper to many fatesA mother to many I...
25/06/2025

Happy birthday Dayana
Your are blessing
Your are favoured 😍
Your a sign and wonder
Helper to many fates
A mother to many
I celebrate me ❤🎂

MAISHA YANGU YATASHANGILIWAMAISHA YANGU YATAPIGIWA MAKOFIMAISHA YANGU YATAJAA SHANGWEMAISHA YANGU YATAKUWA NA UZITO NA M...
29/05/2024

MAISHA YANGU YATASHANGILIWA

MAISHA YANGU YATAPIGIWA MAKOFI

MAISHA YANGU YATAJAA SHANGWE

MAISHA YANGU YATAKUWA NA UZITO NA MAANA KWA WATU WA KIZAZI CHANGU NA DUNIA YANGU

MAISHA YANGU YATAFUATWA NA WINGI WA WATU NA KUSANYIKO LA WATU WASIO NA IDADI

SIJAJA KUPITA K**A UPEPO
SIJAJA KUONGEZA SENSA YA WATU
SIJAJA KUKAMILISHA NAMBA FULANI YA WATU KATIKA USO WA NCHI

MIMI NI MWOKOZI KUTOKA MLIMA SAYUNI MWENYE MAJIBU YA DUNIA YANGU YA SIKU ZA MWISHO,

NINASIKIA WATU WAKIIMBA, "HOSSANA HOSSANA, MBARIKIWA AJAYE KWA JINA LA BWANA"

NA WENGINE WANASEMA, "HERI TUMBO LILILOKUZAA NA MAZIWA YALIYOKUNYONYESHA"

HUYO NDIYO MIMI, HIYO NDIYO HATMA YANGU, HAYO NDIYO MAISHA YANGU

Isaya 55
12 Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.

Mathayo 21
7 wakamleta yule punda na mwana-punda, wakaweka nguo zao juu yao, naye akaketi juu yake.

8 Watu wengi katika ule mkutano wakatandaza nguo zao njiani; na wengine wakakata matawi ya miti, wakayatandaza njiani.

9 Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni.

Isaya 60
2 Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika kabila za watu; Bali Bwana atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako.

3 Na mataifa wataijilia nuru yako, Na wafalme kuujia mwanga wa kuzuka kwako.

4 Inua macho yako, utazame pande zote; Wote wanakusanyana; wanakujia wewe; Wana wako watakuja kutoka mbali. Na binti zako watabebwa

Handbags available Good material🔥🔥Price 35000Mkoba imara #
08/05/2024

Handbags available
Good material🔥🔥
Price 35000
Mkoba imara #

Address


Telephone

+255627807130

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tesha store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your organization to be the top-listed Government Service?

Share