01/09/2026
KARIBU KATIKA MWEZI WA SEPTEMBA JIANDAE KUUONA UTUKUFU WA MUNGU KATIKA UKAMILIFU WAKE
Septemba ni mwezi wa 9 mwezi wa kukamilishwa, kuzaa matunda, na kuvuna ulichopanda kwa machozi. Milango iliyokuwa imefungwa inakwenda kufunguka, na kila ahadi ya Mungu juu ya maisha yako inakwenda kutimia.
Kila kilichokwama Kinapokea kasi mpya.
Kila chozi Linabadilishwa kuwa kicheko na ushuhuda.
Amani na Baraka Vikatawale nyumba yako na kazi za mikono yako.
“Haki ya Mungu na utukufu wake vikafunikwe katika kila hatua utakayopiga mwezi huu.”
Cc ● Mchungaji Kiongozi Ester Hagai Habak